Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Project kubwa sahv Ni Tz sgr ambayo uko UC sio hadithi hadithi...stiglers gorge nayo ndio project kubwa sio simulizi zako za lami
Mbona umesahau na East African crude oil pipeline ambayo itaanza may?
 
Sasa nn kinachothibitisha kua apo Ni kisumu?Au Eldoret
mnachonishangaza nayo ni kwamba mnajua kukana sana picha mbaya za Dar na hata kuitisha thibitisho ya picha! Nyinyi mnapoleta picha za slum na kuziita kibera, mathare nk mnaweka thibitisho? Hiyo picha ni ya Dar na hata wewe unafahamu hivyo so wacha kukana.Cha ajabu ni kwamba nje ya cbd, 90% of Dar looks exactly like that picture above. Ndo maana ni vigumu sana nyinyi kuleta picha za estates za Dar.
 
just Google "Daresalaam aerial view " and look out for the third or second photo
 
Japo inafahamika kwamba uwezo wako wa kufikiria kwa ujumla ni mdogo sana, lakini hatutegemea katika jambo dogo kama hili ushindwe kujiuliza japo swali dogo, sasa nani atakuamini kwa kusema kwamba hiyo ni picha ya Dar?, lazima uambatanishe na ushahidi, kama vile land marks za mji wa Dar, au screenshot iliyoambatana na maelezo ya mtu mwengine aliyepiga hiyo picha, picha zote za Kibera zinazowekwa hapa, zinaambatana na picha na maelezo ya watu waliozipiga na kuzipost kwenye page zao za tweeter, hasa wazungu wanaotembelea Kibera, onyesha picha za Kibera ambazo tumeziweka bila ushahidi wowote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…