Barabara zinajengwaHizi thread zinanipaga raha sana kusoma.. Kama mbongo nadhani facts ziwe facts.. Nairobi imetuzidi sana kimiundombinu haswa barabara na reli.. Watanzania waliofika ama kuishi Nairobi watakubaliana nami kwa hili. Cha msingi ni kuwa kwa sasa Dar nayo inajitahidi kukechi up ingawa naona kwa kiasi kikubwa ni majengo tu yanapanda lakini barabara na miundombinu mingine kama ya barabara (including public transport.. And yes najua kuhusu BRT), intaneti ya mwendo kasi N.K.vinasua sua sana..
Wao wanasifia vile vi Matatu!!Baba hata kwenu kubaya tu mimi nahisi ungesema chochote juu ya currently DAR ila naona umeponda mpaka basi, Nairobi imetutukana sana na DAR yetu leo inaenda zaidi ya Nairobi bado hujaona baba!!! Hivi kweli public transport yetu na Nairobi unalinganisha au hukuwahi kwenda Nairobi! Mmmmmmhh haya bhana ila kumbuka kwenu kwenu tu.
Kulinganisha Dar na Takataka kafanye wewe kazi hiyo.Funny, very funny..... AL only compare dar with mombasa... Thats y unaona most Kenyans are not contributing to this silly thread
Funny, very funny..... AL only compare dar with mombasa... Thats y unaona most Kenyans are not contributing to this silly thread
Kulinganisha Dar na Takataka kafanye wewe kazi hiyo.
Mmekimbia mada inajieleza
[emoji38] Eti mashoga wengiKenya mashoga wengi kuliko dsm
[emoji38]na mademu wazuri pia tulinganishe
Matusi yakowapi!!Ukianza Matusi sasa wewe utaweza????? Look who is a fool here now.
Wanapigwa ndukii wanaanza ooh Nairobi haina Master plan oooh Blah blah blah!!!...... Nimecheka yangu yote.... Kwanza hatujaanza kuweka the web of highways in Nairobi.... Inferiority complex at its best.
Matusi yakowapi!!
Mada hapa ni Dar na Nairobi
Huyo anatuambia Mambo ya Mombasa
Kama siyo dharau nini!!!
Nimesema akafanye kazi hiyo yeye
Kulinganisha Dar na Takataka
Kwani tusi!!!
Huja zuiliwa kuziweka hizo highways
Weka utajibiwa