Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ovious coz Dar ni kubwa na inamajengo Mengi
 
Any international schools in Dar(kindergarten to high school level) ? Au shule zote huko wanafunza na kiswahili?
Kuna IST,
ACADEMIC,
FEZA INTERNATIONAL SCHOOL SALASALA,
ALMUNTAZIL

Kenya najua ipo moja2

Af we mbwiga kweli yan, ko unaona shule zinazokufundisha kiingereza ndo unadata, We mkenya huna akili kweli yaan, ndo maana ukoloni hauishi kwenu uko
Sishangai majengo mengi ya kenya kuwa ni ya raia au makampuni ya nje maana akili zenu ndo hizi kama zako
Jengen nchi yenu kwa hela zenu nyie
Igen mfano DSM
 
Big up Annael,,,,hawa Wakenya wanafikiri Dar ni ile ya miaka ile,,hawajui mwizi anakimbizwa kimya kimya

Dar ina-change na inapendeza kila sekunde,,,ndo maana Wakenya wengi mwisho wa mwaka wanavutika kuja Dar ku-enjoy starehe za jiji hili

Zamani wa-Bongo ndo walikuwa wanakimbilia Nairobi ,,siku hizi kibao kimegeuka wao ndo wanamwagika Bongo kila mwisho wa mwaka
 
Ngoja nawapatia.Naanza na hii hapa
Braeburn Dar es Salaam International School
 
ichoboy achana na habari zinazohusu minyukano ya siasa zao za kikabira,tutaharibu mada.

twende nao na pace ile ile ya kuwawakea picha nzuri zinazo onyesha maendeleo na mandhari nzuri ya jiji la dar huku nimi nikichomekea zile screenshot za maudhi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuwa unang'ata af unapuliza
 
Hizi hapa kwa uchache.

Braeburn Dar es Salaam International School

International School of Tanganyika

The Latham School

Feza International School

FK International School

Dar es Salaam International Academy

St Mary's International School.(Tabata)

Joyland International Schools
 
Nangoja pia wewe ulete picha ya kibera... Coz that's the only thing you guys know
Wewe leta vitu vizuri vya Nairobi tuvione. Mbona unaongea ongea sana!!? Weka sehemu za starehe tuweze pambanisha.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuwa unang'ata af unapuliza
kaka,
jamaa hawana hamu na Mimi,toka siku za kwanza za hii thread, nilichagua kuweka screenshot za matope ya Nairobi.

licha ya matusi yao na kuniandikia maneno ya kuni-discourage,sikuvunjika moyo.niliendelea na harakati zangu za kumkimbiza mwizi kimya kimya.

Leo hii wote wamegeuka kuwa maadui zangu.hakika huu ni ushindi mkubwa kwetu.
 
tupige siasa kidogo.
our president Joseph magufuri is hosting the prime minister of Ethiopia at ikulu.

their meeting is going live on azam TV,
magufuri said, ethiopia has agreed to use our dar es salaam port to pass some of their goods.

therefore tomorrow the prime minister will visit the port of dar es salaam.

wakenya mpo hapo?...Mombasa port kunaendaje.?

chezeya Tz nyinyi.

Hahahaha
 
Hahahahahaha!!! Yaani hapa tunawapiga kila kona aisee!! Watabaki pekee yao tu.
 
Hahahahahaha!!! Yaani hapa tunawapiga kila kona aisee!! Watabaki pekee yao tu.
imagine Ethiopia ni jirani ya kenya kwa upande wa kaskazini,halafu jirani huyo "anaitambuka" kenya ambayo ipo katikati,anakuja kuunga ushirikiano wa kibiashara na tz ambayo kijiografia ipo kusini mwa kenya.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yaani kila jirani anawakimbia. Halafu juzi juzi balozi wa Somalia alikuwa akiongea kuhusu kushirikiana na Tanzania. Hawa jamaa sijui watabaki na nani aise!!
 
Hahahahahaha!!! Yaani hapa tunawapiga kila kona aisee!! Watabaki pekee yao tu.
Ethiopia will use the lamu port my friend..dar is way far from Ethiopia and it will be very costly to use darslum port..just google lapset to understand what am saying
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…