kifusi boy
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 1,141
- 1,753
Tulia ww uelimishwe....Wanafanya.....nn cbd na sufuria na samaki meaning. Wana cbd apartment 11 concrete storey...karibu[emoji3] Every tenant with one room sharing toilet.
ujue tz kuna sehemu ambazo zipo kwakufikirika hata mwanzowa dunia zilikuwepo na bado zipo...Lake Tanganyika Tanzania
dah mbali na estate nyie ni hamna kitu kama estate zenyewe ni mbaya hazivutii je hizo nyumba za mmoja mmoja hapo chini niajee mbona ni vibanda vitukoImara Daima.....Babu Owino's constituency
ila bado LDC...top 20 poorest countries in the world😀😀😀😀😀baraka hamjui kutumia au?😀😀😀ujue tz kuna sehemu ambazo zipo kwakufikirika hata mwanzowa dunia zilikuwepo na bado zipo...
tanzania ni nchi barikiwa na yawezekanani nchi ambayo hata kwenye maandiko ama vitabu takatifu inachukuanafasi kubwa
maybe...alafu kwa diwani Morogoro kuliendaje by the way?sijui labda kwenu😀😀😀 njaa inawamaliza tu
That is much better than to be in the list of top 13 failed states in the Worldila bado LDC...top 20 poorest countries in the world😀😀😀😀😀baraka hamjui kutumia au?😀😀😀
Hatujafikia hata robo ya wapinzani wanavyoteswa na polisi huko kwenuukiwa mpinzani tz inabidi ujichunge sana usije uka....
Ulitaka tubebee flying toilets?hawa washamba BRT wanabebea kuku, mbuzi, binadamu na kadhalika😀😀😀😀I am not surprised people are walking with sufurias at the CBD...
Ilo jamaa lishamba linadhani brt ni ndegeBRT ni usafiri wa umma kwa kila mtu. Wewe jamaa inaonyesha ungevua viatu kupanda BRT.