Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huo uchochoro nao ni city?
 
Manispaa yenu naskia inakua kwa kasi mmefika 2.5M [emoji23][emoji23]ujue iyo ni pop ya mkoa uku Tz. ....
Nyang'au atabaki kua Nyang'au tu
Ni 200k.....but for your shellhead I'll give you 4 .5 million
 
zile nyumba zao, zina room kama 7 au 9. Kila room inaishi familia moja ya baba mama na watoto. choo ni kimoja kwa familia 9. ndio wanaziita 'dream house'.
bora Kenya unaishi kwa 'stand-alone' house ama apartment bila kero
acha akili za pombe TZ tumewadouble kwa kila kitu mlichojitahidi ni kwa upande wa barabara tu..... na kingine si wakenya wote wa hapo nairobi wanaoishi kwenye apartment na nyie mnamazingira ya nyumba ya mtu mmoja mmoja sema mnazificha.... tukiachana na kibera kuna maeneo kibao tu ya raia wakikenya wanaoushi kwenye nyumba ya mmoja mmoja tofauti na hizo estate...
 
Best selling author kutoka Nigeria anavyo isifia Dar es salaam kwa maendeleo nakuiponda nchi yake
Bado yupo Tanzania
 

Attachments

  • Screenshot_20180224-212345.png
    44.6 KB · Views: 33
  • Screenshot_20180224-205852.png
    51.8 KB · Views: 29
  • Screenshot_20180224-203026.png
    63.8 KB · Views: 31
  • Screenshot_20180224-204933.png
    46.3 KB · Views: 31
  • IMG_20180224_204640.jpg
    303.1 KB · Views: 30
  • Screenshot_20180224-205810.png
    69.2 KB · Views: 34
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…