Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sasa nyerere anahusiana kivipi na stadium ya Rochdale😀😀😀😀😀...
 
Sasa wewe una compare uwanja wenu wa taifa na kiwanja cha timu ya mtaani ambayo ipo ligi daraja la tatu na inashika nafasi za mwisho, haijawahi ata kufika ligi daraja la kwanza. Kama uko sane linganisha Kasarani na Wembley [emoji3]
sawa kasarani ni wa kimataifa na ule ni wa Championship club...hapo ni sawa lakini usijaribu kufananisha hako ka mkebe na kasarani...hio itakuwa madharau
 
Junior Clinton.. hiyo unge ifungulia uzi tuje tutililike.. Nyerere ni mtu wa kipekee kabisa kutokea Africa, Baba wa Africa wa ukweli siyo kama minyang'au ya saut soul ilivyo imba. Mandera is not above nyerere true scholars know that
kwasababu minyangau sauti sol hawakutaja Obama, Mandela, Lupita, na mashujaa wengine? hahaha
 
No please, wait untill we overtake you economically.. Its soon. Just be patient..
okay lets wait good luck with that coz its never happening...ila nobody cares about Nyerere or Mandela or whoever you want to discuss....that is what I wanted to tell you...so save your energy...close ur dirty mouth and discuss important issues for the living...not dead guys ambao wanakula bata mbinguni ukiahangaika hapo Manzese😀😀😀...
 
ugua pole. umeandika troxa
sawa lijizee lijinga la 1960s😀😀😀😀..leo sina nguvu za kukupinga....una miaka michache sana hapa duniani😀😀😀...make good use of ur remaining 20 years kabla uanze kuvalishwa napi😀😀😀😀
 
Have you read the article? Because I once heard you saying Jomo Kenyatta was the Best[emoji23]
 
Have you read the article? Because I once heard you saying Jomo Kenyatta was the Best[emoji23]
oooh this is about the other thread about nyerere vs kenyatta? nimekuelewa sasa...nilikuwa nashangaa mambo ya nyerere yanatokea wapi na stadium za Rochdale😀😀😀😀...basi nenda kaniquote kule ukibahatika nita reply...toa ujinga hapa...hapa ni mambo mengine ya maana tuna discuss...sio ujinga wa kenyatta na nyerere
 
[emoji23][emoji23] Acha hasira kutukana hovyohovyo ndio ujinga namba moja...I spent my good time reading the History of these two Leaders and I came to find There was no, there's no and there will be no one Like Nyerere Period[emoji41] next time usibishane vitu vya kijinga sawa..
 
hehe nyerere anaonekana Mungu kwa akili zako tu....kwangu mie sina haja na upumbavu wa sijui nyerere sujui Kenyatta sijui Mandela watu waliokufa kitambo...nimekwambia ukitaka ku discuss mambo ya wanaoishi njoo ila ujinga huo wa jamaa mfu ambaye hata simjui wala sijui alivyoishi usiniletee because I am not even slightly interested...nikitaka sana kumjua nitapiga search nisome historia yake..comprende?
 
haha. sawa. ila mi niliona mechi na wewe unategemea picha kutoka kwa internet. hio stand ni hio hio moja pekee.
kisha nimegundua uwanja wenyewe pia unatumika kuchezea rugby ndio maana chokaa zilikuwa zimechorwa ndivyo sivyo kwenye uwanja.
 
No matter how you run from the truth, it will always prevail[emoji23] Hope umejifunza kitu..

And kitu kingine zaidi
Is this true[emoji116][emoji116][emoji116][emoji23][emoji23]

 
Imenibidi ni copy and paste kuwapa elimu wenzangu pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…