Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nchi isokosa matukio😀😀😀😀
Watu wanaishi kwenye nchi yao kama wakombizi hahahahha
 
Biashara Za settlers wazungu heheh
Nchi yao wanaishi kama wakimbizi😀😀
Hiyo nchi haifaii . angalia asilimia Kubwa ya Wakenya wenye Pesa wanaenda kuishi nchi za Jirani au Nje... Hata hao wanaowaita masupastaa hawatamani kurudi kwao.. Wakati sisi Matajiri watanzania wabongo lazima wawekeze Tz kwanza ndo atoke nje.. Mbwana samata yuko mbele lakini Roho yake yote iko TZ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…