Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

yes this is Kenya here...tuna matajiri tuna maskini kama nchi zote tu duniani...tunajivunia nchi yetu maskini au tajiri sote wakenya...nchi inayoongoza East Africa na Cntral africa nzima..haha
Slum life imewaharibu ubongo[emoji23][emoji23][emoji23] Mpaka nyumba za Mavi mnaona ndio bora zaidi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Slum life imewaharibu ubongo[emoji23][emoji23][emoji23] Mpaka nyumba za Mavi mnaona ndio bora zaidi[emoji23][emoji23][emoji23]
haha continue kabisa..hata mlete picha ngapi, ukweli utazidi kuonekana...hatuko kiwango kimoja na nyie LDC..hahaha. and it shows the obsession u have with this country...ila kama unangoja nilete picha za tanzania ili niwacheke sahau...sina interest...instead nakupa dose ya Kenya, nchi mnayotamani sana kuipita ila mnaambulia patupu kila uchao
 
This is the life of Common Citizen in Kenya[emoji23][emoji23] Hayo mengine waachie wachina wahindi Na Wazungu maana no Kenyan can afford
 
This is the life of Common Citizen in Kenya[emoji23][emoji23] Hayo mengine waachie wachina wahindi Na Wazungu maana no Kenyan can affor
kwa sababu hao tunawaona wakipanda treni za kisasa na kutumia barabara za kisasa ni wahindi...hahahaha endelea kumwaga povu ukichoka amka kesho pia ila ukweli ni huo huo...Kenya not the same level with bongo
 
Naona umeshafika Mombasa.
Siku tutapo acha kuwavalisha nguo basi mjue mmepata maendeleo kuliko sisi. Bila msaada wetu mnge launch hiyo SGR mkiwa uchi.
 
hongera zenyu.

ila next time usifananishe hiyo world cup trophy tour ambayo inapita nchi 51 duniani na na fifa executive summit inayofanyika dar es salaam mda huu.
embu soma hii.
Haha that trophy is for the chosen few only 51 countries in the world....Nairobi has several international conferences in a year ...mnapata ka moja mnaanza kusherekea mnaeza name street FIFA road
 
kwa sababu hao tunawaona wakipanda treni za kisasa na kutumia barabara za kisasa ni wahindi...hahahaha endelea kumwaga povu ukichoka amka kesho pia ila ukweli ni huo huo...Kenya not the same level with bongo
Oh my Lord!!!!!! No wonder why we moved to SADC[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Si bora na sisi angalau watu wananyumba zinazoeleweka[emoji23][emoji23] Sasa hapo Kijijini Nairobi hiyo Slum hata shetani haishii
nimekwambia kama unasubiri nijishushe hadhi nami nitafte icha za tz utasubiri mpaka yesu arudi...haha..tabia za LDC sina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…