Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahaha Building some few buildings in CBD then calling it NY while the rest of the city is pure slum...
Nyumbu are gossiping ,You might think these guys ar from Tokyo city but the fact is are some poor guys from this hood. .

 
Seriously hiyo si slum?? Mko na shida aki
Jua Manzese ni one of the places za watu wa kipato cha chini kabisa kwa Dar es Salaam....

Sasa nitashangaa kuona unataka kuona nini zaidi...

NB:
Nothing worst on the video, each and everything reflects the real life of lower income people in most of African countries

Africa itabaki kua Africa tuu, hata tuwe na magorofa na miundominu ya kila aina hilo halitaficha u_Africa wetu...

Our typical character itaendelea kuwepo mpaka dunia inaisha... Hata tuifanye miji yetu ifanane na NY, LA etc but still our characters will be remain the same

This is Africa, This is third world continent and their irrespective countries are third world too

Tunachopinga hapa ni kuiita Dar yote ni slum, tumewapa elimu ya kutosha then still hamtaki kuelewa

OVER
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…