Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

How can dar have a metro where there's nothing beyond the CBD, be serious guys
Halafu hii ya kuokoteza picha Google inawapa jeuri kabisa...

Dar es salaam ni kubwa kupita maelezo, hizo mnazotuonyesha hapa Tandale, Manzese, Mbagala n.k si kitu ukiichukua Dar nzima...

Jiji ambalo lina kata zaidi ya 100, picha tuu ndo zimekosekana ndio maana ukienda Google asa hivi hutapata unachokitaka...

Metro ipo mzee baba kwa Dar
 
For the first time naona umeongea point...Yes ukishindwa uchumi basi ata na sifa ya usasa ukose?haiwesekani the fact will remain dar CBD ni more impressive than urs...kazi kubwa ni kutengeneza suburb zetu ziweclassic yaani kusiwe na sababu mtu kutoka kimara afuate huduma za bank Posta...

Tayari tumenza na Kuna kipindi nilikaa Kijitonyama yani pale zipo Bank ,makao makuu ya mitandao ya simu but bado vipo vitu tu vitakufanya uende mjini Kumaliza taste ya jiji. ...tukiweza tufanya hayo Nadhan tutaweza kua na miji yakujivunia ukanda huu
 
Dar is slum haina kitu kinachoitwa Central Business District otherwise picha mgezijaza hapa JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…