Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

leo wakenya wameanza kuleta picha za nchi zingine na kusema ni dar siamini kwa kweli πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

kweli kisu kimekita kwenye mfupaπŸ˜›πŸ˜›
 
Kama unasumbuliwa na polisi mbona hata sisi hutusumbua ni kasumba yao...nataka useme ukwel apa mtz gani alikuonyesha chuki ukiwa uku. ..Kama hamna basi peace uache story za vijiweni
KFrom my Experience Tz, ukienda Tz as atourist you will have avery good experience but neda kufanya kazi na uwe kitengo chajuu kuzidi wenyeji.. Wengi hucheka nawewe lakini wanakustab from your behind.. So many of my friends working overthere have been deported for nothing... Walio wachezea shere ni wafanyikazi wenzao...
 
ndio maana tumewafukuza na bado tunafanya uhakiku vizuri tutawaondoa wote na olewenu muingie mererani kuna JWTZ shaba nje njeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

ukitaka kumuua nyani usimtizame usoni mumesahau nyie miaka 10 iliopita mulitutukana na kutukejeli sana sasa wakat wenu ndio huu, tutawafanya kama tunavofanya vifaraga vinavotoka kwenu

leo hii munataka kujifanya nyie wazuri sanaπŸ˜›πŸ˜›

ndio maana mugabe aliwaponda sana hamuna utu
 

LODWAR is not even atown..I thought Mwanza is the second Biggest City in Tz??

Compare Mwanza Airport to Isiolo, Malindi, wajir, Kisumu,Mombasa, Eldoret,Wilson... Then tell me kama utaita ya mwanza Airport
 
Zomba picha hadi za Mumbai batiza jina dar ili nafsi yako owe na aman lakin hufui dafu
Unatuibia sasa
analazmisha magoliπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ na ukiona mtu kafkia hatua hio ujue kisu kimekaa panapostahili
 
Mugabe hakuwai iponda Kenya. That was fake news!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…