Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya wameshikwa na hasira sasa wameamua kuhamisha magoli😀😀😀😀😀

Wamehamisha slums Za nairobi na kuzileta dar

Heheh mchezo huu hautaki hasira😛😛
 
Kwani wewe unaona ni wapi? Dar hiyo na zile dream houses zenu na kadoda
Utueleze wapi dar hakuna milima na hakuna nyumba Za mabati 😀😀😀😀

Munalazmisha ushindi😛😛😛😛
 
Tuambie wewe kama umefika Dar, upande upi wa Dar kuna mlima?, ni mtaa upi wa Dar wenye nyumba za mabati?, Dar ukiishi ndani ya nyumba ya mabati ukiamka utakua umaiva kama kuku wa kuchoma kutokana namjoto, hizo nyumba ni utamaduni wa Kenya, tena Nairobi, sio rahisi kuzikuta Mombasa
 
Hunger stalks four million Kenyans as drought set to worsen
Hii ni sababu moja wapo inayofanya kuitwa hamna akili, utasemaje una uchumi mkubwa wakati millions wanakufa njaa?, hao milionea wengi mlionao mbona hatuwaoni wala kuwajua, kila siku tunasikia wakenya wanakufa njaa.
 
according to their cabinet secretary for tourism, mr. najib balala, our beautiful hotels, hospitality and good services is the main reason why they are losing in tourism sector. many tourists prefer visiting tanzania than kenya.

NB:
to all the jobless young men in kenya, i'm giving you a good deal. i have no doubt that many of you have been dreaming to date with white girls.so stop dreaming, make your dream real by visiting zanzibar,tanzania.

zanzibar is the only place in EA africa which is being visited by many beautiful white girls from all over the world and from all white races.

it's only zanzibar in EA where you can mingle with these beautiful species and establish a closer relationship with them.
please do not ignore this deal, work on it.

below are photos of tourists with their loved ones enjoying their quality time in zanzibar.
 
according to their cabinet secretary for tourism, mr. najib balala, our beautiful hotels, hospitality and good services is the main reason why they are losing in tourism sector. many tourists prefer visiting tanzania than kenya.

NB:
to all the jobless young men in kenya, i'm giving you a good deal. i have no doubt that many of you have been dreaming to date with white girls.so stop dreaming, make your dream real by visiting zanzibar,tanzania.

zanzibar is the only place in EA africa which is being visited by many beautiful white girls from all over the world and from all white races.

it's only zanzibar in EA where you can mingle with these beautiful species and establish a closer relationship with them.
please do not ignore this deal, work on it.

tourists with their loved ones enjoying their quality time in zanzibar.
 
Beba hadi pics a kisarawe then Batiza ni Dar
tutazileta hapa zote. Hizo changaduo that you people proudly call dream houses lazima watu wazione. Hivi, kuna dream house yako kwa picha niliyopost?
 
according to their cabinet secretary for tourism, mr. najib balala, our beautiful hotels, hospitality and good services is the main reason why they are losing in tourism sector. many tourists prefer visiting tanzania than kenya.

NB:
to all the jobless young men in kenya, i'm giving you a good deal. i have no doubt that many of you have been dreaming to date with white girls.so stop dreaming, make your dream real by visiting zanzibar,tanzania.

zanzibar is the only place in EA africa which is being visited by many beautiful white girls from all over the world and from all white races.

it's only zanzibar in EA where you can mingle with these beautiful species and establish a closer relationship with them.
please do not ignore this deal, work on it.

tourists with their loved ones enjoying their quality time in zanzibar.
 
according to their cabinet secretary for tourism, mr. najib balala, our beautiful hotels, hospitality and good services is the main reason why they are losing in tourism sector. many tourists prefer visiting tanzania than kenya.

NB:
to all the jobless young men in kenya, i'm giving you a good deal. i have no doubt that many of you have been dreaming to date with white girls.so stop dreaming, make your dream real by visiting zanzibar,tanzania.

zanzibar is the only place in EA africa which is being visited by many beautiful white girls from all over the world and from all white races.

it's only zanzibar in EA where you can mingle with these beautiful species and establish a closer relationship with them.
please do not ignore this deal, work on it.

tourists with their loved ones enjoying their quality time in zanzibar.
 
kwanini mbona unapost picha za mandume???? 2mbaff.
usisahau kupost madem wa kizanzibar pia
 
Akuna siku mtanzania akakubaliana na ukweli hapa jf. Uzuri ni kwamba Google haidanganyi.
Haya tuletee picha ya hzo slum na maelezo ya eneo husika nasubiri na usipoleta ntakuaibisha leo😀😀😀😀😀😀
 
Your train stations are superb, no one will argue [emoji122] [emoji122]

shida iko kwny hiyo locomotive ambayo ilinadiwa ni ya umeme.... halafu kumbe ni full tank diesel [emoji1] [emoji1]
hapo ndio walipo toa boko. hakuna uwiano wa station na locomotive...ni kama mbingu na ardhi. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…