Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwa upande wa utalii, Kenya haifai kushindana na Tz kabisa. hilo lazma ukubali maana Tz ina vivutio vingi mno. munafaa kushindana na Morocco, na Egypt. hamuitwi bongolala bila sababu
 
mbona una akili za kima mwenye makalio mekundu?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€chokoraa wa uswaziniπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Nimekuuliza kiroho safi maana nilipata taarifa kama machokoraa wenzako wa kikenya walikupiga mtungo kwenye linda....

Ndiyo maana nikakuuliza hujafa tu
 
[emoji112] [emoji112] [emoji112] kizuri maisha yanaendelea cha ajabu ukimuweka maskini wa kenya ukimlinganisha na huyo wa ldc maskini wa ldc ni bora kuliko wa kenya.,..

Imekaaje hii kitu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
unataka kusema hakuna maskini wa kutupwa tz?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
huyo jamaa ana miaka karibia 40 lakini akili zak kama za mtoto wa nurseryπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ yaani mtu mzima anaenda kwa Nairaland search box anaandika keywords (Kenya)πŸ˜€kwani wanigeria watatupeleka wapi?
povu hilo....halafu acha tabia za *******-nyaji. mtoto wa kiume hatakiwi kuwa na tabia za kusengenya mtu, hiyo ni tabia ya kike.unapokuwa na issue na mwanaume mwenzio mfate na umwambie face to face....ulitakiwa uni-tag au uni-qoute.
[emoji23] [emoji23]

btw,kwa sasa nina miaka 50+ nilishavuka hiyo 40.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sipatii picha kuiona brt chini ya tazara fly over[emoji123] [emoji123]
 
Mungu wangu...kumbe wewe ni senior??? alafu mbona immature hivi? kuuliza tu...niliwahi kuambiwa niwaheshimu wazee...
 
jamaa sasa unawaabudu wa nigeria...SMHπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€LDC ni LDC tu
anayeabudu wanaijeria ni huyo kilaza-mugger anaitwa lewis.

tazama alichozungumza then tazama jibu nililo mpa....utabiani ni watu wa nchi gani EA wanaabudu wanaijeria.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hiyo haiitwi marketing,huo unaitwa utapeli.

marketing unafanyia kitu chako unachotaka kinunulike,halafu hii tabia ya kudanganya ulimwengu kuhusu mlima huu,ndio inafanya mnakwenda kupokonywa hata hiyo mia mbili mliyokuwa mnachukua kupitia usafiri wa anga kwa watalii.

mngekuwaga wastaarabu tungegawana umasikini tu,siye siyo wabinafsi.
 
kwa upande wa utalii, Kenya haifai kushindana na Tz kabisa. hilo lazma ukubali maana Tz ina vivutio vingi mno. munafaa kushindana na Morocco, na Egypt. hamuitwi bongolala bila sababu
[emoji3] [emoji13] [emoji13] kila kitu kinawakati wake..,,......sisi hatushindani na mtu tunafanya yetu kwa upande wetu huyo huyo bongolala anaitwa mbongo na anaishi eneo la bongo kaa na ujiulize kwanini imeitwa bongo...

Na kingine huyo huyo bongolala anauwezo mkubwa wakuwachagulia raisi ampendaye katika nchi yenu endapo akiamua
 
Mungu wangu...kumbe wewe ni senior??? alafu mbona immature hivi? kuuliza tu...niliwahi kuambiwa niwaheshimu wazee...
una kila sababu ya kumiheshimu cos kiumri mimi ni sawa na yule baba yako anayelewa pombe hovyo kule ushago.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
lakini act your age bro....nimeanza kushangazwa na tabia zako...unanitia wasi wasi...hivi karibuni watu wa miaka 60 watakuwa wakinyonya matiti za mama zao jinsi unavo behaveπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Duh!!! heshima kwa mzee anayerauka kila siku kupambana na wakenya mitandaoni...pole broπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€una akili za teenagerπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
wazee wenzako wnasoma gazeti kule na ku discuss mada za kizee wewe unapambana na wakenya mitandaoniπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€kwani akili zinarudi reverse?
 
Elewa unavyoelewa......nimekujuza kwa lugha nyepesi sana....

Inabidi nikubatize jina la marehemu
sawa chokoraa wa uswazini...una umri upi nawe? wenzako wa miaka 50 wana behav kana kwamba wameanza maisha baada ya high school
 
lakini act your age bro....nimeanza kushangazwa na tabia zako...unanitia wasi wasi...hivi karibuni watu wa miaka 60 watakuwa wakinyonya matiti za mama zao jinsi unavo behaveπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
inaonekana upo desperate sana na umri wangu, ipo siku utanijia inbox kutaka nikutumie picha yangu.... mashoga mna mbinu nyingi sana za kujitongozesha kwa wanaume marijali.

anyway, this is me in my 50s enjoying life.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kwa upande wa utalii, Kenya haifai kushindana na Tz kabisa. hilo lazma ukubali maana Tz ina vivutio vingi mno. munafaa kushindana na Morocco, na Egypt. hamuitwi bongolala bila sababu
Leo hii yameku hayo yani unazungumza hata aibu huoniπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ sio nyinyi mliokua mkitangaza mt kili na olduvai iko kenya au umesahau, sasa hvi mumebanwa makende munaanza kumtafuta mchawi

Hakuna sector yoyote keny inayofanya vzr zote zinapumulia mashine ICU
 
enjoy tu sina ubaya na watu kujienjoy ila kwa jinsi unavobehave kaka nina wasiwasi naweπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€...akili za kitoto kumbe unakuza cabbage kwenye makwapa na kunyoa mvi kila asubuhiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…