Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukiunganisha hizo zote bado haifiki 5% ya Nairobi...... Upande huo mwingine 70% ya mji mzima ni slums [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] ....hizo ni takwimu kutoka United Nations si mdomo wangu. Hadi BBC wenyewe wakapaita fishing village kwasababu walitafta jiji ndani ya dar wakakosa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sio mm ni dunia😀😀😀😀😀

Na siku ukiipata dar kwenye top 500 biggest slum in the world unitag plz😛😛😛

These are the world's five biggest slums


 
Hakuna dawa tamu, dawa ni chungu au mbaya😀😀😀😀😀😀😀


 
madhara ya mayouth kukosa job ndio haya.....ukora kila siku.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
madhara ya mayouth kukosa job ndio haya.....ukora kila siku.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Wenye Akili zao Wakenya
wameliona hili
Ila hawa Mburula wa hum kutwa kuibeza JF

Hahaha Kitaeleweka tu
na kwa watz wasiofahamu, najib balala ndio current cabinet secretary wa tourism nchini kenya.

yeye amekiri kwamba kenya imepigwa bao na tz katika utalii.

hawa wakenya vilaza wa wa jf ni wa kuwapuuza tu.
 
mungiki angalia fishing vilage hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…