Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya ,with no mineral resource is a fighter,an aggressive African country,a country with a people who command great English,and Nairobi stands tall In African cities,a huge metropolis with A powerful skyline in the making!Viva Naitobi.
 
Without forgetting the largest slum aka kibera metropolis
 
Kenya ,with no mineral resource is a fighter,an aggressive African country,a country with a people who command great English,and Nairobi stands tall In African cities,a huge metropolis with A powerful skyline in the making!Viva Naitobi.
Hiyo aggressive mnaitumia vipi katika kupata wealth au ndio ile inatumika kule somalia kuwalazimisha wanunue mkaa
 
Naona mi barafu juu ya meru ,utadhani Kilimanjaro vile!
Hata mimi nilishangaa kumbe Mount Meru nayo ina snow ila kipindi cha baridi, ukiuangalia unaweza kusema ni Kili kumbe ni Meru.
 
Mwanza inaweza kuwa tourist hub hasa kwenye maswala ya beaches lakini naona serikali imeitelekeza so sad!
Ni kweli Mwanza ipo na potentials nyingi sana kwenye tourism industry, ukweli kiasi fulani serikali iliyopita iliwekeza kidogo sana Mwanza.

Ila nikuambie kitu Mwanza haitashikika sgr ikikamilika sababu Mwanza wameshabomolewa wale walio kwenye reservation ya reli, mkataba utasainiwa time yoyote, kumbuka Mwanza international airport ipo kwenye ujenzi plus many kilometers of roads, saivi Mwanza imekumbukwa it's just a matter of time
 
Anyone got data on the new Mombasa Gate bridge? I here there is a project starting May to build cable cars along the Likoni channel to be completed in 2020...this would really complement the bridge and boost Mombasa's status

Mombasa Gate proposals and feasibility findings data.
The study and proposed designs are ready,financing affirmations almost concluded and now relocation and social impact campaigns ongoing.
Mombasa Gate is a reality. Link below for comprehensive data.

http://www.meti.go.jp/meti_lib/report/2015fy/000263.pdf

Main Proposal (Proposal 1) 3-span balanced arch bridge

(Proposal 2) 2-axis 3-span balanced arch bridge

(Proposal 3)
3-span continuous steel truss bridge
 
Unatuletea picha ya mbezi beach mahali wadosi wa Dar huishi! Sasa sisi tukileta za Muthaiga na Runda huku kutalika kweli? Leta picha za estates ambazo mwananchi wa kawida anaweza afford kuishi. Hizo za ubabi zimejaa Nairobi
Apo sio mbezi beach ni mbweni wanaishi watu wa kawaida tu

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Unatuletea picha ya mbezi beach mahali wadosi wa Dar huishi! Sasa sisi tukileta za Muthaiga na Runda huku kutalika kweli? Leta picha za estates ambazo mwananchi wa kawida anaweza afford kuishi. Hizo za ubabi zimejaa Nairobi
I can't even see tarmac roads on those 'posh' Estate...
We have better in Mombasa, Eldy,Kisumu and Nax..

Kweli LCD in lcd.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…