Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ˜€πŸ˜€ thanks for render
 
And where are your interchanges za 31 to 32 meters? Mnazo? Afadhali sisi tuko na za 30 meters and they are all over the city and other major towns
where is ur interchange???? hebu tuoneshe
 
Na hapo hatujaleta za Mombasa, Kisumu na Nakuru. Tanzania is building the first flyover in the entire country wakati sisi hadi nakuru iko na flyover! These people should learn to choose their opponents wisely
fly over za kupanga matofali πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wadhan internet ya safaricom nayo ni internet yakuweza zidi ulimwengu wa kwanza, hawa watu Ni hawajiexpose kabisa wanadhan hakuna sehemu zaidi ya apo upperhill
 
NASA ndio country gani??? kweli ujinga ni mzigo!!! anza kusoma hapo ''For comparison, the average broadband connection speed in the U.S is......''
 
Wadhan internet ya safaricom nayo ni internet yakuweza zidi ulimwengu wa kwanza, hawa watu Ni hawajiexpose kabisa wanadhan hakuna sehemu zaidi ya apo upperhill
sasa NASA ikitumia interenet ya 91GB per second ina maana the whol of USA is using that speed??πŸ™πŸ™πŸ™mwarab ichoboy is very stupid
 
tanzania imezidi kupaa kwenye utalii

2017 imeingiza 2.6b usd 38.8% higher than 2016

go go tanzania, utalii kenya bye byeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Wadhan internet ya safaricom nayo ni internet yakuweza zidi ulimwengu wa kwanza, hawa watu Ni hawajiexpose kabisa wanadhan hakuna sehemu zaidi ya apo upperhill
sifa ndio ziliwatia ujinga πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
internet is controlled by USA alaf anakwambia kenya has the fastest than USA, sifa zinaua watu walidhani hapa nairaland
 
sifa ndio ziliwatia ujinga πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
internet is controlled by USA alaf anakwambia kenya has the fastest than USA, sifa zinaua watu walidhani hapa nairaland
do you know what NASA is you guy?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hehehe ni ulimbukeni unawasambua hivi kweli mtu Kenya inaweza kushindana na USA kwenye Internet speed achilia mbali technology? Hii Internet ilioanza miaka ya 90s USA marine walikua nayo tokea 80s ila ilikua kwaajili ya military service tu ndio baadae wakaona waifanye commercial sasa hawa nyumbu wa kibera anakaa kwenye choo na kujiandikia pumba zake na wakenya wenzake wanaamini hii pumba.

US Internet ina speed ya kutisha huwezi kuilinganisha na speed ya kibera
 
NASA ndio country gani??? kweli ujinga ni mzigo!!! anza kusoma hapo ''For comparison, the average broadband connection speed in the U.S is......''
tuliza akili kenge weweπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
we unafkiri NASA hawatumii broadband connections
yani Usa ndio mwenye internet alaf nyie muwe na interrnet fast than USA aisee kenyatta amewavuruga akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…