COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
Morocco is trying but Kilimani is hot as fuk ....reality is painful but morocco can't match kilimani or even ngara/EastleighThe photo above have 3 (20+flrs towers) which are 2 Morocco square towers and Avic , two 30+towers (millenium towers 2 and PPF HQ 35 Flrs) you are comparng with that photo by calling them dwarf towers? we clearly know which are dwarf towers 😀😀😀😀😀
sawa kaka...kwa hiyo umeamini kile alichozungumza?... kama umeamini basi sawa haina ubaya.nlikuwa namaanisha itakuaje mnatuita jobless na most kenyans wanamiliki gari,,,mtu jobless hawezi afford.
When he was shot didn't he know Belgium exists? Why did he choose Kenya over Belgium? Feelings peleka mbagalaIf you failed to correct Issac Rutto's nose, how could you treat bullets wounds?, no wonder Lisu decided to go to Belgium, stupid Kenyans.
Akili za Tundu Lissu na Jubilee zinafanana sana, uliza Jubilee kwanini wanamkamata Miguna Miguna na kufungia TV stations zilizotangaza lakini Raila aliyejiapisha hawamkamati, wakikupa jibu ndiyo jibu la swali lako kuhusu Lissu.When he was shot didn't he know Belgium exists? Why did he choose Kenya over Belgium? Feelings peleka mbagala
Endeleeni kufatilia maswala ya Kenya. Mgetumia hiyo energy yote na time kujenga uchumu wenu uwe thabiti na kujinasua kutoka kwenye lile pipa la ldchapa nilipo najua hata mda ulioenda haja kubwa leo... na pia najua mda utakaoenda haja kubwa kesho.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaha...acha tu nicheke. Kwa hivyo alivyoenda Belgium akili yake iliwacha kufanana na jubilee? Na hizi akili ambazo hufanana ziko na shape au rangi ganiAkili za Tundu Lissu na Jubilee zinafanana sana, uliza Jubilee kwanini wanamkamata Miguna Miguna na kufungia TV stations zilizotangaza lakini Raila aliyejiapisha hawamkamati, wakikupa jibu ndiyo jibu la swali lako kuhusu Lissu.
Mgetumia hiyo energy kujinasua kutoka kwenye lile pipa la ldc
You think you live in the Garden of Eden? Kweli nyani haoni kundule. I know you guys hate facts but just take a minute and read this. As always, your government denied the reportWe don't farm LDC, GDP or lower middle income on our land, what we plant is food, what we harvest is food, what we eat is food, what you request from us is food, what makes your people to day every day is lack of food, what makes your children to suck dog milk is hunger because they don't get enough food.
How has it expired wakati bado mmekwama pale? Siku mtatoka pale ndio huo wimbo ita expiretafuta wimbo mwengine...wimbo wa ldc ulisha expire. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
wewe unawazimu kichwani mwako😀😀😀Morocco is trying but Kilimani is hot as fuk ....reality is painful but morocco can't match kilimani or even ngara/Eastleigh
Sasa itawezekana vipi tuwe na watu wasiopata chakula at the same time tunauza chakulakwa nchi kumi za Africa?, tatizo litakua sio chakula, hatuna upungufu wa chakula, Tanzania ni food backup ya nchi nyingi za Africa.You think you live in the Garden of Eden? Kweli nyani haoni kundule. I know you guys hate facts but just take a minute and read this. As always, your government denied the report
Survey finds most Tanzanians go hungry, despite government denials
How has it expired wakati bado mmekwama pale? Siku mtatoka pale ndio huo wimbo ita expire
sio njaa tu kuna slums, unemployment, maji hakuna nairobi mwaka mzima sasa, tribalism inakula nyama zao, pia wamefanikiwa kufkisha debt to GDP ratio 60%, etc😀😀😀😀😀😀kwani toka mmetoka huko,mmefanikiwa kiasi gani kuikimbia njaa???
si nadhani ni matajiri sana,,you mean kenya magari ni mengi with less population
Wako ligi ya kina DRC and other LDC countries... Hawa ni vilaza tu.si nadhani ni matajiri sana,,you mean kenya magari ni mengi with less population
Unasema nyinyi ni LDC ama?Lile bandiko la GDB ndio lilikurestisha muda wote saivi ndio umepata nguvu ya kupost lugha zisizoeleweka?
Exposure is so expensive to the most of you plus ignorance especially you karumekenge
Ndio maana nimesema hapo juu kwamba hamupendi ukweli. You are so fast to dismiss the survey wakati nyinyi kila siku mnaleta links kuonyesha vile kenya kuna njaa. Mbona hii sasa hamkubaliani nayo? Mtaishi in denial hadi lini wenzetu??Sasa itawezekana vipi tuwe na watu wasiopata chakula at the same time tunauza chakulakwa nchi kumi za Africa?, tatizo litakua sio chakula, hatuna upungufu wa chakula, Tanzania ni food backup ya nchi nyingi za Africa.
Na bado mkashindwa kuwafikia kweli nyinyi vilaza wa kuzaliwa hamuwezi saidika hata na sindano zote kuwaingia.sio njaa tu kuna slums, unemployment, maji hakuna nairobi mwaka mzima sasa, tribalism inakula nyama zao, pia wamefanikiwa kufkisha debt to GDP ratio 60%, etc😀😀😀😀😀😀
Nyie mbona mmetoka lakini bado Njaa inawachapa Mtoto wako anakunywa maziwa ya Mbwa? ?Au ni mtoto wa Maskini mwingine wa kenya na siyo Maskini ww??How has it expired wakati bado mmekwama pale? Siku mtatoka pale ndio huo wimbo ita expire
Survey finds most Tanzanians go hungry, despite government denialskwani toka mmetoka huko,mmefanikiwa kiasi gani kuikimbia njaa???
Kenya ranked as 'failed state'Unasema nyinyi ni LDC ama?