Traveller D
JF-Expert Member
- Jul 11, 2025
- 2,023
- 5,374
hauna comeback umia polepole ukienda. Imagine even my hometown is now getting it kushinda kisumu enye pride yake ni affordable homes project. 😂😂😂 kweli meza imepinduka.Siweziumizwa na gorofa za 3 floors.
Hizo mambo za GDP ni fictitious endeleeni kujidanganya ilhali mna maisha magumu kijamii kuliko nchi yeyote hapa Afrika mashariki..I can see we are closing the gap between us and Morocco very fast. I won't be surprised if we topple them in the near future.
Kila statistic kwenu inakuwanga fictitious until ile siku itarank Vumbistan mbele ya Kenya😂😂😂Hizo mambo za GDP ni fictitious endeleeni kujidanganya ilhali mna maisha magumu kijamii kuliko nchi yeyote hapa Afrika mashariki..
Kwasababu ground inasema tofauti.. uzuri ka nchi mnakokategemea kutunza uongo kanajifia zake taratiibu, dunia itakua wazi kama ****** wa mbuzi tu, then we will get to know who’s who.Kila statistic kwenu inakuwanga fictitious until ile siku itarank Vumbistan mbele ya Kenya😂😂😂
Kila statistic kwenu inakuwanga fictitious until ile siku itarank Vumbistan mbele ya Kenya😂😂😂
ikifika mda wa GDP kutumika apo ndo kelele zinakua nyingi 🤣 🤣Kwani GDP hafanyi kazi kama hizi au ni namba tu za wanusagundi