Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania was flagged for faking figures. Kenya has never been flagged anywhere for cooking.πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
Btw itsnot our duty to remind you πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ the slums tell everything you need to know about that overvalued economy πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nyie ni watu wajinga sana na wenye mdomo mrefu.
Uwanja ni mmoja tu lakini hizo kelele, yaani hata rais amesha utembelea mara tatu.

All in all, uwanja wenu quality ni mbovu sana; FACT.
Uwanja wenu quality ni mbovu sana; FACT 🀣🀣🀣🀣🀣

Uwanja quality mbovu is already slated to hold a world sporting event early next year wakati yenu 'quality' bado imezungukwa na barabara za vumbi 🀣 🀣
 
ni kwamba huo uwanja umepiga mahali pake nn mpaka ukatumia picha za zaman πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unauogopa nn
 
Ile maku yenu unaita Olympic stadium?🀣🀣🀣🀣
Nyamwezi wacha hallucinations
 
Ile maku yenu unaita Olympic stadium?🀣🀣🀣🀣
Nyamwezi wacha hallucinations
Sasa shida iko wap πŸ˜‚πŸ˜‚kwan ni dhambi kua na olympic stadium πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚au picha mpya unaziogopa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa shida iko wap πŸ˜‚πŸ˜‚kwan ni dhambi kua na olympic stadium πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚au picha mpya unaziogopa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwamba ile maku yenu iliyopo msituni Arusha ni Olympic stadium? πŸ˜‚πŸ˜‚

Kwa akili za kinyamwezi unadhani every stadium with a running track inaitwa Olympic stadium? If that's the case then we have hundreds if not thousands of Olympic stadiums around the world. Kuwa mtanganyika ni kazi kweli!!
 
Quality ni kuwa na staircases zilizojipinda kama mrija ya punda ndani ya terraces? Show me any morden stadium yenye mfumo kama huu ya stairs ndani ya terraces
View attachment 3690505
ngoja nkuonyeshe world stadiums zilivo πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚





now compare na hii SUPA LOAF πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Attachments

  • 1791973889870.png
    264.6 KB · Views: 3
unaniuliza mm au wewe ndo uliesema olympic stadium? πŸ˜‚πŸ˜‚ au you mean hii apa
 
gudubai πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ beating Al Ahly isnt for everyone πŸ˜‚πŸ˜‚ btw can Nicxie relate πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


View: https://x.com/erich_mboowa/status/2110308592981090611?s=20
 
Can you prove Arusha is colder than Nairobi Mganga na Umbwa?
 
look who’s complaining about picha zamani πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£β€¦.
si ndo ukwel sasa πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ uwanja ushaisha ndan watu wanadeal na nje saaahv bado picha za construction unazo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ it shows jinsi pain has landed where its supposed to be, everyday we post latest talanta photos but nyie mpaka leo mna hio staircase, PAIN has landed where its supposed to land πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…