Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tulia bas usipandwe na pressure kaka๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€....lakini nakuhakikishia kuwa tz haitawahi kuwa nyanja moja na Kenya...thats free advice๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Mtabaki kusema hivyo, wakatibsector zote muhimu mpo nyuma, tena mbali sana na hamtokaa kuifikia tena Tanzania inafukuzana na Ethiopia, roads, rail, economy growth, food security, unemployment, electric connectivity, safe drinking water, modern hospitals, vyote hivyo Kenya ipo nyuma sana kwa Tanzania, ila endeleeni kujipa matumaini ya kujifurahisha.
 
Ulovyotaja plus tunagas ,madini tuko kwenye boom kwenye kila idara...hauoni mnamezwa? Ila we jamaa unaustahimilivu sana..ingekua mm nisingebishana na mtz, chai na gold, maua na diamond, plus chai pia tunauza kahawa tunauza na korosho na matakataka kibao
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Zinaitwa smart business moves and sustainability strategies. If outsourcing periodic maintenance is cost effective than having resident engineers,why not!? After all, class C-checks occurs only after a certain cycle of flights and it's not a frequent routine.
 
very impressive ila nikiuliza tu, hivi mbona mpo LDC? haya bas....utanijibu kesho...kesho pia ni siku
 
very impressive ila nikiuliza tu, hivi mbona mpo LDC? haya bas....utanijibu kesho...kesho pia ni siku
Tulilala zaman,now tumeshaamka let m tell you game imechange,mtakuja waadisia wajukuu zenu msiione Tz leo mnapakimbilia iliwahi kua nyuma yetu kimaendeleo miaka ya nyuma....Bro ungekuja kibaha uone viwanda vilivyojengwa kama uyoga...lazima ungewela mikono juu
 
viwanda havijengwi kwingine sio? yaani ni Tanzania tu๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ ur small-minded
 
ukitaka kujua hali halisi mambo yalivyo, usimwulize mkaazi..mwuulize mgeni...atakuambia yote kama yalivyo...tazama hapa anavofananisha Kenya na nchi ya Tanzania
Mmewapa ardhi ya kambi yao kijeshi utegemee wawaponde
 
viwanda havijengwi kwingine sio? yaani ni Tanzania tu๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ ur small-minded
Sasa huwez compare Tz na nyie kwa sasa kwa ukuaji...iyo growth ya 7% vs 5% inasema mengi sana kwamba ata ukuaji katika sekta kama viwanda tunatembea na reli sawasawa!!
Japo Mm nimesoma science lakini naona mambo yakiuchumi kwa jicho la pili
 
All researches done in developing countries to find out why science and technology in these countries are not changing as faster as in first world countries showed that, one of the reason is because science subjects are taught in foreign languages.

Nearly all African countries use foreign languages in their universities, including Tanzania, what have we Africans discovered or innovated, what is the contribution of African universities to the global technology?. Ninyi wakenya bado mna mawazo ya kitumwa hadi mnatia huruma, yaani tunawasikitikia sana.
 
Sasa huwez compare Tz na nyie kwa sasa kwa ukuaji...iyo growth ya 7% vs 5% inasema mengi sana kwamba ata ukuaji katika sekta kama viwanda tunatembea na reli sawasawa!!
Japo Mm nimesoma science lakini naona mambo yakiuchumi kwa jicho la pili
haya basi....tanzania inakuwa kwa asilimia 7...South africa ina kuwa kwa asilimia 0.8.Nigeria wanakuwa kwa -0.5%..sasa South Africa na Nigeria pia watapiwa na Tanzania... sio?๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ