Battle: Dar es Salaam vs Nairobi



wale watu hufail mtihani za Kenya huenda kusomea Tanzania kwa sababu huko standards ni za chini .hata rich Tanzanians wamejaza tu watoto wao shule za Kenya kama hillcrest......
 
Religion and Poverty are brothers.
 
wale watu hufail mtihani za Kenya huenda kusomea Tanzania kwa sababu huko standards ni za chini .hata rich Tanzanians wamejaza tu watoto wao shule za Kenya kama hillcrest......
Elimu yenu hapana...mm shahidi kasoma uko mtoto wa bro at last Haeleweki apa,
Na nn kipya hasa nimefanya kazi na wenzenu sitotaja ofisi,Hakuna kitu cha ziada sana sana ni mzigo
 
Religion and Poverty are brothers.
Kibosho ni Moshi vijijini,kuna maendeleo sana man,Hospital zilizopo uko shule na majumba utashangaa .....pia kunalimwa sana kahawa, ndizi Ni vijiji vilivyoendelea sana
 
Congratulations to kenya as a middle income country .
Bado Tanzania tuna mengi ya kujifunza kutoka kenya ili tufikie middle income country
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Congratulations kenya. Buda munamaisha mazuri kuliko Tiz ona hapo buda[emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
i also find it hilarious bro....these guys have a 1950s education system...wanasoma chemistry na physics, maths kwa kiswahili hawa mafala...😀😀😀 most of their kids at the border come to study in Kenya coz of their poor education system
 
All African leaders wamesomea Tanzania, professor Mutua muulize amesomea Tanzania. Kuhusu kudharau hilo wala halitusumbui, kama wenyewe kwa wenyewe mnadharauliana na hampendani vipi kuhusu kudharau watu au vitu vya wengine?. Elimu yenu ni miongoni mwa elimu ya ovyo kabisa katika dunia hii, vipi mnasema mnaelimika lakini bado mnabaki na ukabila?, elimu bora ni ile inayomkomboa binadamu kutoka katika mawazo ya kizamani na primitive thinking kama ukabila.
 
Kenya GDP (2017)-$70B
Tanzania GDP (2017)-$47B
GAP-$23B

Kenya GDP (2022)-$120B
Tanzania GDP (2022)-$79B
GAP-$41B
😀😀😀😀
Ndoto za mchana kweupe kabisa hizi
average Kenyan huvuna ksh 20 kwa siku calculate apo ndio uone mnahemea oxygen concentrator
 
Kibosho ni Moshi vijijini,kuna maendeleo sana man,Hospital zilizopo uko shule na majumba utashangaa .....pia kunalimwa sana kahawa, ndizi Ni vijiji vilivyoendelea sana
Huyu jamaa usipoteze muda wako, dishi limecheza kidogo.
 
Khaa jamaa unastory za uongo kabisa...
Uliona wapi kama sio ndio unajifunza uchawi taratibu...
 
GDP Per capita Kenya $1,455 (Middle Income)
TZ per capita $879 (LDC)
pengine udanganye kipofu😀😀
Hahaha unatamani sana iwe hivyo lakini bahati mbaya siyo

Growth Per capita 4.4% Kenya ni 2.2% na inaendelea kushuka
Per Capita Tanzania sasa hivi ni 1,041. Tunawapumulia mgogoni. In few years mtatuona juu.
 
GDP Per capita Kenya $1,455 (Middle Income)
TZ per capita $879 (LDC)
pengine udanganye kipofu😀😀
Wewe wasema ,kipato cha mkenya wa pale kibera ni kati ya $500 -1000 iyo $1455 Ni wale vibaka wanokaba watu
 
Nai kumepangika naona
Kwa mambo city planning hata nyinyi mnajua kwamba your glorified village haifikii Nairobi hata robo kwa planning.Nairobi is well-planned ndio maana hata watanzania wenzako wamekiri hilo mara mingi sana kwenye hili kukwaa. Kwenye city planning, Nairobi and Dar are worlds apart
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…