October 23, 2025 yani bado siku chache itimie mwaka mmoja toka liangukeLini SGR ya Tz ilidondoka?
Hata sioni sababu ya kukujibu wewe nyang'au wahed😂hakuna kujifariji apa...mwendo ni wa kusema na kutenda..lile experessway yenyu ilifikia wapi?alafu SGR tangu enzi za mapadlock mumeshindwa kumaliza...ni miaka ngapi tangu SGR ianze ?
Kuna umuhimu wa dom stadium ipigwe haraka,hapa naona kabisa haya mashindano tunahost peke yetu
Kuna vijana humu wanainsist Talanta ndio huwezi ona uwanja. 🤣 🤣
vp sasa ile picha ulisema cowshed ya ngong ina foldable uwanja mzimamimi ni nusu Mungu kama viongozi wa ccm na hakika nakwambia ipo siku ya dodoma yale yanakuja tena kwenye sgr si yalistua kidogo
Na wallah wewe utakuwemo
inakimbizwa balaa saaahv wameleta siti za kufyatua mda hautoshiKuna umuhimu wa dom stadium ipigwe haraka,hapa naona kabisa haya mashindano tunahost peke yetu
Hao wapiga kelele wa mitandaoni,kila kitu wanaleta siasa,ielewe siasa ya TZ mpinzani anapinga kila kitu na kuchukia kila kinachofanywa na chama kilichopo madarakaniKuna vijana humu wanainsist Talanta ndio huwezi ona uwanja. 🤣 🤣
pole bana, hio sehem yote ipo under construction
remember the last time nakwambia CAF wamesema huu uwanja ukimbizwe 😂😂😂 BTW there is an ongoing conversation to make AKIBUA an official stadium for the matches