na ndo inavotakiwa kila sehem
Kenya ni Nairobi na Nairobi ni Kenya, ndiyo mana vimaendeleo angalau vipo Nairobi pekee.
Kuna huyo mnuka mavi kanyooka kama mjusi 😄😄Hao kiboko yao mm wala msijali mkuu 🤣🤣🤣🤣🤣
Unakatwa wwYou are really struggling to see your mountain, on the Kenyan side it's very clear and you don't need to zoom to extend the picture become blurred.
Kuna siku alivaa viatu vya matairi akasema Africa nzima hakuna viatu kama vile, sasa ukiangalia mazingira aliyopo na jinsi alivyo lazima ucheke 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kuna huyo mnuka mavi kanyooka kama mjusi 😄😄
Sio yule kuna mwingineKuna siku alivaa viatu vya matairi akasema Africa nzima hakuna viatu kama vile, sasa ukiangalia mazingira aliyopo na jinsi alivyo lazima ucheke 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wakenya wengi sura zao zina reflect maisha wanayoishi, ila siwachukii ni jamaa zangu hawa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sio yule kuna mwingineView attachment 3683223
but ni transhipment madame
unamaanisha hawa 🤣 🤣Wakenya wengi sura zao zina reflect maisha wanayoishi, ila siwachukii ni jamaa zangu hawa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yule ameasiKuna pastor mmoja anaitwa Francis Ndacha, jamaa namkubali sn ni mkenya pia, amenijenga sn kiimani kuliko mapasta wengi wa Tanzania, jamaa namfuatilia sana, yuko vzr na mm ni mfuasi wake.