Refinery isiyo na mihemko iko tanga na hoima mkuuWashamaliza uzinduzi wao wenye michambo sasa wenye akili timamu ambao hatusubiriii pesa za abiria wa nganya tunaanza kazi
View: https://www.instagram.com/reel/Dd9ikQ1ARsR/?stkn=MW1ldDBuN3o4MmoyeQ==
Baada ya kumsikiliza rais wao,wameukimbia uzi 😄😄Meanwhile your president ashakwambia atanunua shares kwenye refinery ya tanga
View: https://youtu.be/I0y2XUWbnmY?t=363
Nadhani plan yake ni ile ile kunyaland wawepo kwenye ule mradi kinamna yoyoteAnajipendekeza! Anajua kinachokuja!
Hate more Game over.Juakali things again,
bosi kashasema haonyeshi ata mumuite gachaguaAah .. tumeshajua ni nani alimfundisha Dangote kuwa na majibu ya kijeuri jeuri na madharau.
sasa hapa kuna cha kuhate tena? au kuwaonea huruma 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Hate more Game over.
Iko wapi?Nimeona site visit Tanga refinery!
The refinery pain is too much to handle 😂You will be posting just anything Geza Ulole.
Ya Hoima at least tunajua they are in fund mobilization stage. Ebu ya Tanga tuambie iko wapi?Refinery isiyo na mihemko iko tanga na hoima mkuu
problem is you will cryIko wapi?
Without a picture or a video then Hata mimi pia nimeona site visit ya Kisumu refinery.
Ruto alirukia gari,walipokosa bomba la mafuta,sasa aweke kiwanda cha kusafisha mafuta ili abalance hii ya kusema Tanga ilikuwa janja ya nyani Lililopo tutabanana hapa east Africa mpaka kieleweke.Hadi huruma 😃,ruto anajuta kumualika mu7 kwenye refinery yake ya kisiasa 😃,aisee alivyoidandia ile refinery ya tanga 😃
hawa jamaa wanapitia kipindi kigumu sana
View: https://x.com/ivymuthe/status/2105859063762563531?s=20
Wah, Day 3 of premium tears 😅there is always room for tough lessons
View: https://x.com/exclusivejojo/status/2105584848517681286?s=20
I thought ulisema ni private tena unataka private company to disclose their documents?🤣🤣🤣