Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ni maajabu 😂😂😂 mwenye ako na mafuta kasema atawekeza Tamga, wewe usie na mafuta unatucheka. 😂😂😂
You think you must have oil to build a refinery .. no wonder some equate you to a forest dwelling creature 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂
 
Mwenye angejenga refinery Tanga ndio hiyo kashaanza kujenga Lamu, so who will built another one in Tanga?😂😂
Acha ujinga na wewe, refinery sio crude oil pipeline useme moja inatosha kwa mazingira yaliyopo, refinery zinaweza kuwa hata 10 kulingana na uhalisia uliopo. Refinery ya Tanga ni unavoidable, dangote ni kama muda wake unakwenda kuisha na ndiyo mana ilikuwa rahisi kumuongopea ajenge lamu wkt pesa iko Tanga. Akijaribu ku divert ndiyo mwisho wake utakuwa hapo, na ndiyo mana hata yeye mwenyewe ameshangaa ameshawishiwa vp kwenda lamu na sio Tanga. Ss Tanzania huwa hatuna mihemko, jiografia inatu favour tuwe hivyo, hata tukikaa kmy wenyewe mtarumbana mwishowe hitimisho litatoka kwamba sehemu safe ni Tanzania, blessed land.
 
Hii ni maajabu 😂😂😂 mwenye ako na mafuta kasema atawekeza Tamga, wewe usie na mafuta unatucheka. 😂😂😂
Ruto kaamua kuuza nchi ili alipe kisasi cha crude oil pipeline, asichojua ni kwamba hawezi kupambana na nature, Tz ndiyo heden ilipokuwepo, so you cannot beat it.
 
You think you must have oil to build a refinery .. no wonder some equate you to a forest creature 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂
Ofcourse you MUST have oil 🤣 🤣 🤣 infact oil, infact singapore has the world highest price of petrol 🤣🤣🤣🤣
 
Mwenye angejenga refinery Tanga ndio hiyo kashaanza kujenga Lamu, so who will built another one in Tanga?😂😂
"Mwenye angejenga refinery Tanga ndio hiyo kashaanza kujenga Lamu, so who will built another one in Tanga" 🖕🖕
Hoe hae kama ww lazima uamini dangote ndio mwenye uwezo pekee wa kujenga refinery,hali yako inaakisi na akili yako machafu chafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…