Wait for the report ya inspection utaelewa bottle neck ni nanAnd remember as we throw shade with each other here, there are people who are praying for our united downfall
New reports indicating CAF wants to take away the tournament from east Africa 🤣
View: https://x.com/lnstantfoot/status/2104697880673959945?s=46
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 sjacheka kwa nguvu ivi toka nmeamka
you might have all the argument but a team that ahsnt touched ball for 9 years and at home, thats beyond poverty 🤣🤣Unataka Guinea Bissau nifananishe na Brazil?
Multi-purpose, football, rugby na mbio pia kwasabu inanafasi ya kuwekwa running track.Talanta ni Stadium ya nini?
sema uliona mbali, jamaa wamechora bonge la nafasi limebaki 🤣🤣🤣Multi-purpose, football, rugby na mbio pia kwasabu inanafasi ya kuwekwa running track.
Hawa wana vichwa vya panzi, hawajui kuchanganua mambo mkuu, uwanja unaonekana kabisa unaruhusu running track lkn wanabisha, waambie walinganishe talanta pitch size na fumba alafu waone utofauti. Pitch ya Fumba ipo karibu kabisa na watazamaji, pitch ya talanta na Arusha zote ziko mbali na watazamaji kwasabu ni viwanja vya Olympic.basi ulikua mbele ya mda mzee baba
Kenya na uganda bado hawana sifa za ku host michuano mikubwa, tena bora uganda na viwanja vyao below standard, lkn Kenya wana kiwanja kimoja tu chenye caf standard na wanashindwa kumeet requirements. Tz imezungukwa na nchi maskini sn aisee.aliewaweka kenya kwenye BID lazima tumlaani, yaani CHAN was the red line but we didnt listen
View attachment 3680373