Coaching problem na nina uhakuka akirudi inatkuwa mwisho wake.Since your insider info has gone asleep on matters of the Under 20 women’s World Cup, I will give you an update.
Tanzania soaks in 15 goals in group stage ( a record)…🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Brazil 🇧🇷 hit you with 4 goals
England 🏴 hit you with 5 goals
Canada 🇨🇦 finished the job with 6 goals
It seems the more matches you played, the more goals you allowed. Thankfully it’s over for you at group stage.
Goodbye 👋…
thats what they love, kupewa sifa za investors wakiwa kwenye slums 🤣Wakenya na Wasouth Africa are same,showing off of wazungu properties while they're living in shanks 😭
Halafu mara ngapi wame-postpone events kama hizo as a result of inadequate preparednese?Tatizo mnalazimisha hiyo news itusumbue na ndio maana tunawajibu inavyotakiwa.
Mnatambia kufukuza upepo! 😂😂😂
View attachment 3671376
For the first time in a long time you make sense…though it’s like you mean local coaches ni bovu 😆😆Coaching problem na nina uhakuka akirudi inatkuwa mwisho wake.
Kuna ujinga wakupendelea wazawa kuwapa hizi timuza taifa imetucost sana na kutupotezea muda.
Tulianza Taifa Stars kutoa takataka na kureplace na Argentinian Gamondi
View attachment 3671515
Tukaja na timu za vijana tukatoa takataka na kureplace na Spanish, Mario Rivera
View attachment 3671516
No wonder you kneel before Mama’s image .. wewe ni Mzanzibari …🤟🏾
Kwa hapa Afrika mambo ya mbio ni Kenya na Ethiopia tu.Halafu mara ngapi wame-postpone events kama hizo as a result of inadequate preparednese?
Hata sie sio wabaya hivyo huu muamko wa sasa ukiendelea tutakua vizuri! Esp na facilities na sport academies zinazojengwa! Kumbuka viwanja vyetu ni olympic standard!Kwa hapa Afrika mambo ya mbio ni Kenya na Ethiopia tu.
Great tho itakuwa poa zaidi wakijenga one biggest cargo terminal in africa inaweza ku attact ndege za mizigo piaGerson Msigwa (@gersonmsigwa) on Threads
Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato Dodoma UNAKWENDA VIZURI. Fuatana na @ip_suleiman wa Idara ya Habari (MAELEZO) katika simulizi hii. Kudos timu @maelezonewswww.threads.com
Kwani how bad is bongo education to produce such an alarming number of thick obtuse airhead individuals in just 1 thread bana! Yaani Hii thread nitakuwa mwalimu ya hawa vinyangarika wote! Nimechoka sasa🤣🤣View attachment 3671423
Hata sie kwenye mbio tuko vizuri,ila tu chama cha riadha na olympic vilikua vinaongozwa kama vyama vya watu binafsi,ikangaa na mwenzie bayi walikua wabinafsi na wezi,kidogo sasa hivi tumeanza kurudi kidogo kidogo kwenye riadhaKwa hapa Afrika mambo ya mbio ni Kenya na Ethiopia tu.
"Local coaches ni wabovu" ni understatement. Those guys are shit!For the first time in a long time you make sense…though it’s like you mean local coaches ni bovu 😆😆
Na mambo ya kuwatch pornography?Kwa hapa Afrika mambo ya mbio ni Kenya na Ethiopia tu.
😁 SawaOvyo