Viwanja wa Fumba na Arisha havijaanza kujengwa wakati mmoja! Wacha kuropoka!Ni vile tu ule uwanja ni mdogo tunaweza sema maybe tuone kama watakimbiza ila by now ilitakiwa ile stage ya arusha ndo viwanja vyote viwe, kwa lugha nyepesi saaahv inatakiwa unafanya finishing baada ya mwezi wa 12 ndo final hakuna extension tena
also yule waziri wa michezo wa kenya alisafiri kwenda rwanda kuomba viwanja vyake vitumike kama training pitch, ukijumlisha ule uwanja wa ngong nao ndo kwanza wanarudia tena kupanda nyasi π π π π
its true but deadline ni january kumbukaViwanja wa Fumba na Arisha havijaanza kujengwa wakati mmoja! Wacha kuropoka!
Alafu tukiwaonyesha FDI ya Kenya iko juu bado mnalia na uko hapa ukionyesha ni kweli π€£π€£south seriously wants to dry this bungoma
View: https://x.com/CapitalFMKenya/status/2098374175660400748?s=20
we ndo fala wa mwisho kwel π π yaani unatakiwa uonewe huruma kabisa πππ yaaani watu wanakuja kupiga biashara alafu wanabank ela sauzi unakaa unakenua meno alafu baadae unalia pesa amna πππ we kweli chokoraaAlafu tukiwaonyesha FDI ya Kenya iko juu bado mnalia na uko hapa ukionyesha ni kweli π€£π€£
People want a piece of this cake including Tanzanian billionaires and most if all, the Tanzanian government , meanwhile no one is investing in bongo π