Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umelezwa hapo ni kwa mujibu wa sheria. Hao wote ni vijana waliomaliza form six, Kwa sheria za Tanzania lazima wapitie mafunzo ya kijeshi kabla ya kuanza kusoma University. Ufupi siyo disability.
in Kenya and the rest of the world, dwarfism is classified a disability. Legally and medically…
 
mchina bana 😂 😂 😂 kaweka na makochi kabisa kuangalia uwanja wakati kuna nguzo mbele 😂😂😂😂😂
The only village that gets the worse deals 😂😂😂😂😂
 
in Kenya and the rest of the world, dwarfism is classified a disability. Legally and medically…
Jifunze kuhusu dunia. Style hiyo inayofanywa na Tanzania ni Israel Style. Nchi zinazofanya kama Tanzania ni:
Singapore
Israel
South Korea
Thailand
Vietnam
Iran
Turkey
Russia
Kazakhstan
Kyrgyzstan
Finland
Sweden
Norway
Denmark
Austria
China
Greece, Cyprus, Estonia, Latvia, Lithuania, Switzerland, Brazil, Colombia, Mexico, na Croatia
Orodha ni ndefu sana. When you say World what do you mean?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…