Hii pitch wameenza kuonyoa panki!!π³ π
umenchekesha kichz π€£ π€£ π€£ π€£ naona kuna dalili za kipara apoHii pitch wameenza kuonyoa panki!!π³ π
Sema hongera mzee, maana kumtetea huyo mama ni kazi, yaani ni mweupe kabisa , mfumo tu mbovu umemuweka hapo, hata hiyo surplus unaongelea unadhani yeye hata anajua sasa π, yaani mambo yanajiendea tuKumbe na wewe ulibebwa na hizo story za vijeni kwamba alifeli shule ,,πππ BTW kuna president yoyote toka hii nchi ianze ashapeleka nchi kwenye trade surplus ya mauzo ππππ
Mzee wewe kama humpendi mtu basi humpendi usiweke sababu zisizo na mashiko, Mara hajasoma mara mfumo mbovu mara surplus anajua, maisha sio simple ivo kwamba kila kitu kinajiendea, Wewe simamia msimamo wako humpendi basi iwe ivo,Sema hongera mzee, maana kumtetea huyo mama ni kazi, yaani ni mweupe kabisa , mfumo tu mbovu umemuweka hapo, hata hiyo surplus unaongelea unadhani yeye hata anajua sasa π, yaani mambo yanajiendea tu