Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mbna kama unataka kulia 🤣 🤣 kwahio kwenye tournament nzima mnahost mechi 6 tu? 🤣🤣🤣 $30M for 6 matches 🤣🤣
We won't host any match Nyamwezi. Kwani were we going to host AFCON?
 
Hiyo hapo juu ni screen ya smartwatch?
 
eti mwaiofhawaii ulisema BYUTIFICATION ama dreinej au you meant ze dreinej is byuti 🤣🤣🤣🤣
View attachment 3663953


View attachment 3663961
Now you are projecting Bertin’s accent ..😆😆😆… well played …I am sure he’s happy now 💯💯💯….
But soon you will have to create another boogeyman to quench your ego …we know your patterns well . You are like “coward” the cowardly dog .. 😆😆
 
sasa mm nmefanya nn 🤣 🤣 nlikua nauliza tu is zat ze byutification you were talking about, au ni hii apa
 
Eeh hii battle ya Dar na Nairobi haitakwisha 🤣 Nimeona picha za uwanja wetu wa Mercedes, hao watu wa Nairobi wanajisahau kweli. Lakini tukae wakweli, AFCON hii itakuwa moto, kila upande una story yake. Mimi niko Dar side but Nairobi wana point flani kuhusu infrastructure zao. Tusubiri tuone nani atacheka mwisho 😂
 
Ungejua walichoambiwa uko baada ya CAF kupita, ni swala la kuwaonea huruma, yaani $30M and you only host 6 matches , ni huzuni 😭😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…