mmeanza kuomba usaidizi...ata sikuprepare..hahaaa..bado sana nyinyiKuna ile twin towers iliopo kule posta upande wa baharini ukumbi gan sjui ule
Ukumbi unatumiwa na wanachuo wa IFM kule
Jina ya lile jengo ni lipi
ashaitaja zamaniUsisahau umoja wa vijana 25 floors
We tulia vinu bado ndo tunaanza sasammeanza kuomba usaidizi...ata sikuprepare..hahaaa..bado sana nyinyi
Hili mshapost uko nyumaNSSF building
103m
Tayar mkuuUsisahau umoja wa vijana 25 floors
Hahaha ndio ujinga wao sasa hahahahhaHili mshapost uko nyuma
Nimepost majengo mawili leta mawili tuendelee kazi
sio hiyo wewe.....vipi tena.kuna mawili yamekuja apo hamjayajibu lornho na national bank house.achana na nssf buildingHili mshapost uko nyuma
Nimepost majengo mawili leta mawili tuendelee kazi
semeni mmeishiwa na above 20 floors..bado yako huku kibaoHahaha ndio ujinga wao sasa hahahahha
Nimekupm jengo la twin towersHahaha ndio ujinga wao sasa hahahahha
hujajibu rahmtula mkuu.naona apo umenipea ya lornho na national bankNimekupm jengo la twin towers
Naomba jina lake mkuu lina 22flr
wameishiwa hawa jamaa....tukiwambia daily wanapingaRE-INSURANCE PLAZA
20FLR77M