Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

it is the grammatical errors you guys make that are somehow hillarious...
with all the "glamatiko hera" in our writings, we still "nyosharingi" you.

this "siredi" is at large being influenced by us.all the trending topics are being introduced by us.we run the show here.

we have forced you to twerk that ass in our tune.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Only sh 150
chakula kama hicho inabidi wakati kula ukae jirani na choo.....mda wote tumbo linaweza chafuka.[emoji23] [emoji23] [emoji23]

vyakula vya wakenya huwa siviamini.
sitokuja sahau siku nilipojaribu kula githeri nikiwa mitaa ya CBD. [emoji23] [emoji23]
 
Haha kadoda bana
 
Ile chakula ulituma hapa niya waabusu Kenya...acha wivu buda
 
Huenda akawa yule mchekeshaji wao Omondi anayevaa chupi kama bush men[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Da Halooooo jamaa hana wakwe kweli sio kwa stahili ile makalio yote nje eti unamuiga bush men What's the hell
 
Jamaa washamba sana,hawana ubunifu ndio maana hawatoki nje.
 
Huyo hujamuelewa anataka aone kibao kizuri [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
chakula kama hicho inabidi wakati kula ukae jirani na choo.....mda wote tumbo linaweza chafuka.[emoji23] [emoji23] [emoji23]

vyakula vya wakenya huwa siviamini.
sitokuja sahau siku nilipojaribu kula githeri nikiwa mitaa ya CBD. [emoji23] [emoji23]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] Hii mixer unaharisha kweli unaweza usiende kwa job kwa hii mixer haloo
 
Huenda akawa yule mchekeshaji wao Omondi anayevaa chupi kama bush men[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Da Halooooo jamaa hana wakwe kweli sio kwa stahili ile makalio yote nje eti unamuiga bush men What's the hell
Omondi nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…