Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani unataka kunikopa? I saw you are really interested in mobile loans.

For your information I'm not a Shylock cause Kwanza inaonekana wewe hurudishi deni.
Ukimaliza kulia post turnover ya bank statements yako ya one year.
Hizo zingine ni kelele tu unanipigia hapa.
 
Ukimaliza kulia post turnover ya bank statements yako ya one year.
Hizo zingine ni kelele tu unanipigia hapa.
hizo achana nazo confidential info, mwambie tu apige screenshot ya simu yake akuonyeshe πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ BTW i can even predict anakaa in one among the slums apa town as how people have posted his photos here πŸ˜‚πŸ˜‚ we fikiria mtu ananunua kochi nusu anakuja kuringishia πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Aliwahi kudowonload picha ya hela akapost humu kuwa ni zake. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


 
Aliwahi kudowonload picha ya hela akapost humu kuwa ni zake. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
View attachment 3657630

View attachment 3657633
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Teargass but why? japo ata mm nshagundua icho kitu huenda jamaa anakaa kwenye slums because alipost sku moja screenshot yake apa, alisahau kucrop daaah hio simu sasa πŸ˜‚πŸ˜‚ alikua anatumia moi akiwa diwani , huenda dogo anakaa slums, mwingine ni Nicxie πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
kuna watu walikuja na makelele miaka hio, saaahv hata online hawapo tena, wakina mwanjela na nan sjui yule πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ukimaliza kulia post turnover ya bank statements yako ya one year.
Hizo zingine ni kelele tu unanipigia hapa.
I don't repeat myself, I already did this in 2024 and you ran away. You only came back to ask for my bank details ili uibe pesa uko.
 
Wapi picha ya simu yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…