Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

After only six towers umeamua kuleta Mikocheni na Victoria zisaidie.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Sasa utakunya wewe si muda πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
You keep on twisting words to suit your reality. Nilisema majengo yenye Bertin amemention hayafiki kumi wakati title ya video inasema yapo zaidi ya 30. Umepost sita pekee ukaingia mitaa mingine. Sasa kati yangu na wewe nani muongo? Ama sita ni nyingi kuliko kumi?
 
Wee ndio una twist maneno fala hii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Mimi ndio kwanza nimeanza kupost unatokwa povu, jitu zima pumbavu.

Najua haumpendi Bertin kwasababu anaonyesha uhalisia wa mambo ambayo wewe hupendi. Stupid kunyan. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umeanza kupost vipi na ushaatoka kwa mada? Umepost majengo ya Mikocheni na Victoria wakati tunaongelea Upanga. Tuko number 6. mbilikimo, endelea na kazi. Leo niko na wewe.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umeanza kupost vipi na ushaatoka kwa mada? Umepost majengo ya Mikocheni na Victoria wakati tunaongelea Upanga. Tuko number 6. mbilikimo, endelea na kazi. Leo niko na wewe.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nataka u admit kwanza the number of buildings of 20+ floors I posted is 7. Ndio tuendelee… πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Also, whenever he is in Kenya, he focuses on potholes, unpaved roads and garbage but in Tanzania, whenever he is in a place with bad roads, the camera always pans to the buildings. When recording the Marua highway, he insisted it is 84km long by measuring it from Kenol and ignored the 60km from Kenol to Nairobi just because he wanted to mention it is the second longest dual carriageway in East Africa after Dodoma ring road which is 110km. He knew if he includes the Nairobi kenol part, the Marua highway would be the longest at 144km.

Again, he once posted the Expressway briefly then deleted the video and never posted it again.
 
Jengo moja la Meethaq tower hujaweka construction site ndio maana nimeliondoa kwa orodha.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. the meethak tower πŸ‘‡πŸΎhere is the construction site .. want you to admit then niendelee kuna watu unawaakoseesha uhondo. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Muda ni mchache budaa
 
He’s only good at speaking English in a Nyamwezi accentβ€¦πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Naskia eti kuna mkenya alitumia tochi kupiga picha Arusha stadium. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hizi habari ni za kweli. Haya... eti mwaiofhawaii. Hizi habari ni za kweli.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸΎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…