Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii discussion ulianzisha wewe sio mimi bwana kibera walker. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Pitia juu hapo usome.. huo ni mwanzo tu. Nangoja useme SU. nikukimbize ukalale na homa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Unikimbize na render Tano wakati Mimi Nina 48 towers under construction? Wewe kichwa Chalo Kiko Sawa ama ni mbilikimo Kama mwili?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unikimbize na render Tano wakati Mimi Nina 48 towers under construction? Wewe kichwa Chalo Kiko Sawa ama ni mbilikimo Kama mwili?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Maandishi ya mtu anaetaka kulia ninayajua. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ usiomie kaka, zoea Dar. Ulidhani mnajenga nyie tu eeh.?
 
Unajua hii beach from mikochoni to Kawe itakua na skyline tamu sana siku zijazo, imagine hii ni before 711 ikamilike. πŸ‘‡πŸΎmoradi kama Mango tree Garden, Golden premium residence ikikamilika hii skyline itakua ya moto mno.
 
Wanuka mavi bhana wameomba list ya majemgo yenye yako na 20 floors yanayojengwa Dar, yamepostiwa wanaomba tena picha za site πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Kuchanganyikiwa huku.
Yamepostiwa wapi? Render ni building under construction? You only posted renders Nyamwezi
 
Mimi sina msaada na wewe, kama una mpango wa kulia wewe lia tu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Utahangaika Sana lakini hakuna siku utapata more than 3 buildings with 20 floors that's currently under construction.
 
So uko na picha za renders kwenye gallery yako lakini ukiitishwa progress ya hayo majengo unaleta povu 🀣🀣
Alafu unataka kutuamini? Ndio maana nilisema hayo majengo mnazijenga ila kwenye ndoto tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…