Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I told you Finals is Kenya and Opening is Uganda. Ni nini huelewi hapo?
we ni fala kwel, arent you the one who i told you Uganda will take the opening match 4 months back na ulikua unalia apa? and the final kuchezwa kenya who discussed it? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ sicne the last meeting hakuna sehem kenya kapewa final match. Btw unajiskiaje and ungeniskiliza tu toka mwanzo usingeharisha ivi
 
I told you Finals is Kenya and Opening is Uganda. Ni nini huelewi hapo?

Correction: Talanta haina uhusiano na CHAN, i said Uganda has refused kua mnyonge anataka either open and close weeks later news came out A meeting happend in Uganda and it was about the CHAN

Unataka news gan ingine πŸ˜‚
eti Teargass sasa ubishi ulikua wa nn na kikao kilifanyika mapema sana πŸ˜‚
https://www.facebook.com/
View: https://web.facebook.com/pulsesportske/posts/uganda-has-stated-a-clear-preference-for-a-marquee-afcon-2027-role-while-admitti/1584013759754712/?_rdc=1&_rdr#
 
Tanga Region πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
Huku ndio kuna Usambara three horned chameleons ambao species yao inapatikana Tanzania tu dunia nzima πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
 
Residential?? 🀣🀣🀣
Kwamba watu watakuwa wanaishi ndani ya Arusha stadium? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
How many residents can it accommodate? 🀣🀣
Kimbilia hiyo typing error ili upate nafuu maana I can feel your pain. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Section ulikuwa unadhani kutakuwa na VIP seats ndio hiyo washaweka bakuliπŸ˜‚πŸ˜‚

View attachment 3640967
Mjomba unalazimisha mambo ili walau upate furaha lakini hupati kwasababu unajua unajidanganya. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Majukwaa yote yatafungwa VIP seats zenye ni foldable. Tufauti yao ni kwamba eneo la chini kabisa la hili jukwaa ndio lifungwa foldable seats na linaonekana hapo vizuri likiwa wazi.. na katikati ambapo patawekwa presidential appearance πŸ‘‡πŸΎna jukwaa hili πŸ‘‡πŸΎ linaonekana wazi kabisa eneo ambalo seats hazijafungwa kabisa πŸ‘‡πŸΎhalafu issue ni kwamba skyboxes zipo kila upande. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Kama utaamua kulia ulie au unye boga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…