Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama ni hivyo anzisha new thread ya Tanzania vs Kenya. Don't forget pulling in Zanzibar,Pemba and all territorial claims you can lay your claws on plus embassies
dont forget to pull mombasa alsoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Nothing odd here for sleazy public officials to be grilled in media. In Kenya we publicly question and criticize our own for accountability and when expectations are not met.

licha ya kelele zenyu kwenye media, kenya haina hostoria ya kuwachukulia hatua wanasiasa au viongozi wezi, wala rushwa au viongizi walioshindwa kusimamia majukumu yao kwa usahihi.mwisho wa siku inakuwa ni business as usual.

angalau tz, magufuli hana mda wa kuchekeana na viongozi wa namna hii,mara moja huwa anawaondoa kwenye nafasi zao na kuweka mtu mwingine.

tangu JPM aingie madarakani, viongozi wengi walioshikiria nafasi mbalimbali serikalini, wamepoteza ajira.
 
Hahaha Tanzania ni full kujiachia nchi tamu balaa mpaka nyani wanakula Bata,

Kenya angeshapigwa risasi
kenya sio tu hao nyani wangepigwa risasi bali wangeondoka na nyama yao ili wakaifanye kitoweo.

si umesikia juzi kati kuwa wameanza kula wadudu aina ya crickets ili kupambana na njaa. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kenya sio tu hao nyani wangepigwa risasi bali wangeondoka na nyama yao ili wakaifanye kitoweo.

si umesikia juzi kati kuwa wameanza kula wadudu aina ya crickets ili kupambana na njaa. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha Dah na kweli jamaa wana roho ngumu mpaka mende wanapelekwa hatari
 
Wakenya mbona mmetulia hivyo?? Naendelea kushusha marungu hata mkinuna. 😳

Now to [HASHTAG]#Manyara[/HASHTAG] [HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG]

Manyara Region is one of Tanzania's 31 administrative regions. The regional capital is the town of Babati. According to the 2012 national census, the region had a population of 1,425,131, which was lower than the pre-census projection of 1,497,555.[1]πŸ˜›age 2 For 2002-2012, the region's 3.2 percent average annual population growth rate was tied for the third highest in the country.[1]πŸ˜›age 4 It was also the 22nd most densely populated region with 32 people per square kilometre.
 
after we have beaten them in this, don't be surprised if you hear them say swahili is not spoken in kenya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ mwaka huu mbaya aisee
 
Unaua kabisa sidhani kama watarudi tena humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…