Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata final ikichezws Kenya ila mwenye revenue kubwa kuliko atakuwa ya zania sababu atakuwa kahost mechi nyingi
Revenue kutoka wapi yet haitakuwa mna-attend games?πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚

Ebu tuambie hizo revenue sitakuwa zinatoka wapiπŸ˜‚
 
Arusha is just ugly no matter how hard you try to sanitize it.
 
Ukiskia westlands unaweka dhan ni bonge la sehem πŸ˜‚









apa ni unachezea vumbi proper





everyone feels like a goon saaahv
 
Finals will be in Kenya, Opening in Uganda. Nyinyi mtabaki na nakadhalika.
Kama kawada yenu, wazee wa six months.


View: https://x.com/stats_wire/status/2080272760178139461
 
hii ndo main bus terminal ya westlands πŸ˜‚πŸ˜‚ Nakumbuka someone showing me this place as a bus terminal i havent recovered mpaka leo, and its the place i remember the most πŸ˜‚πŸ˜‚ again there is a place called i think "railway" kitu kama iki, kuna another stand kubwa ya vumbi pale, when i remember now those places i laugh these days and feel bad for mwaiofhawaii Nicxie and Teargass without forgeting nyangau mkenya and nairobae

 
Nlisema ipo sku ntaleta pics behind NBO for now tuendelee na other parts of westlands πŸ˜‚


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…