Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sasa na wewe dont let the challenge end, when your challenged you have to respond na kama its way beyond your league unasema πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
if i were you saaahv ningekua nalia πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚


 
na ni vile tu mnakuaga na figisu pale kwenye border, yaani ilitakiwa iwe ishagonga $1B in trade πŸ˜‚πŸ˜‚ na apo bado gesi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


btw ingekua mm nndo wewe saahv ningekua nalia

View: https://www.youtube.com/watch?v=3k0m6Rkuv9g&t=33s&pp=ygUbcnV0byBhYm91dCB0YW56YW5pYSBleHBvcnRz
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwamba roofed parking lot. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Au kwakiswahili β€œeneo la kuegesha magari lililoezekwa”. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Dah…!!! hiyo inaitwa Aibu utaona wewe.
Leta ya Arusha tuone bongolala
 
imagina mpaka mkaanza double stack ila wap πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ cha ajab wameongeza mpaka ela ya kuingia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…