Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Kwahiyo nikiandika labda Nairobi to Mombasa nakuwa namaanisha kuwa basi linaoperate Nairobi tu?
Mbezi ni dar ndio ila linaoperate kutoka mbezi kuelekea mpakani mwa dar na pwani.
 

Dar Iko na above 1000 square kilometer bila kuwa na forest reserve vipi kuhusu Nairobi ambayo ni robo ya dar na bado Iko na unpaved roads na slums kibao🤣🤣🚭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…