Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So far
1. Britam (200m) v TPA (157m) - Nairobi wins.
2. UAP (163m) v PSPF 1(153m) - Nairobi wins
3. Times Tower (140m) v PSPF 2 (153m) - Dar wins.
4. Le'Mac (125m) v Rita (115) - Nairobi wins.

5. Teleposta (120m) v Millennium (103m) - Nairobi wins
Nairobi 4 Dar 1. Chezea babayao. hahaha
 
Acha uongo wewe Millenium Tower II ipo na floors 30. Acha kudanganya.
 
Badilisha hilo jengo kwanza
Af tulioko uku ndo tunajua urefu wake
Ata wikipedia wanakwambia

Badili hilo jengo nyie wakenya hatutaki uongoongo zenu apa
 
Kama unataka ambayo yako under construction mbna mtakimbia
Hilo halijamaliziwa ndo mana bado halijafunguliwa
Badili jengo bro


Acha kulialia. Jengo lishakamilika - Mbona sijaweka Prism? Mbona sijaweka Parliament Tower? Mbona Sijaweka Hass ama Montave ama Avic? Hayo ndio majengo ambayo hayajakamilika. Jengo hili limekamilika na Nina rafiki aishiye marekani ashanunua apartment hapo akija Kenya mid this year ataishi hapo.
 
Badili hili jengo nairobiwalker kama ni hyo tutaleta apa ata ambayo yako under construction
 
Millenium Tower II ipo na 130+M acha kudanganya wewe. Najua taarifa unatoa wikipedia.
 

Hizi data za uongouongo unatunga wapi sijui
Minara ndo inakuchanganya ee
Ok
1. Britam 33 vs tpa 40
2. UAP 33 vs PSPF 35
3. Times tower 33 vs PSPF 35
4.TELEPOSTA 27 vs Rita tower 30

4:0 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii ndo dsm
Minara inawasumbua akili
Mpaka mnaweka majengo ambayo hayajafunguliwa[emoji23][emoji23]
 
tunakungoja ulete jengo ndugu
 
Twende kwa namba of floors
Kibaya hawa wakenya akili zao ziko kwenye minara
Tangu lini urefu wa mtu ukahesabiwa kwa ukubwa wa kofia
Hahaha!! Yaani unapima na urefu wa Nywele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…