porojo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Magorofa tunayoyahenga sio eti nani aliye na gorofa ndefu kushinda mwingine,(kama vile nyie na ulimbukeni wenu na porojo mnavyofikiria)Ni majumba marefu marefu kwa ajili tuko na wealthy middle na upper middle class plus Kenya inaongoza Africa nzima kwa multinational corporations .Hivi nyie magofu ya kuokotwa na kutupwa za mzizima towers,na gorofa tupwa tupwa za Tpa na pspf zitakaliwa na nani?Naona ni historia itakavyokuwa kama ponte city apartments miaka iliopita.Pinnacle kwa sasa kwenye jengo la hoteli maharufu ya Hilton tayari iko 100% taken, that is 45 storey smaller arm,while the 70 storey arm b4 hata marketing ianze,liko 50% booked!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Umekula mchana wa leo anko????
brookside tanzania zili fail ndugu yani kuna kampuni huku ziko kwenye ushindani mkali sanaππ
Mgonjwa nani kati ya anaetumia ardhi nzuri kulima maua afu analala njaa na mtu anaejenga stend usafiri unaotumiwa na most tanzanians ????watakuambia wanajenga bus standππππLDC ni ugonjwa aki
asante kwa porojo.Kadoda bby,jua kwamba jiji la Nairobi lina umaharufu mkubwa kote dunia nzima,hivi je kijiji cha walatope cha Dar is slum nani kajua?
Huwezi compare ukwasi na umaharufu wa Nairobi na vitu hivi hivi,Nairobi ina historia yake halisi .
Kadoda
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Bora wee umemwelewa ameandika nn mi cjaelewa kitu nimeona mafinyofinyo tuuuasante kwa porojo.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
watakuambia wanajenga bus standππππLDC ni ugonjwa aki
Kama hatujulikani y na nyinyi kila cku mpo humu kubishana nasiDar is slum ni mji usiojulikana dunia nzima 'hivi iweje mnapoteza time yenu humu kwa porojo
Hatushindanii majengo, tunashindania huduma bora za msingi, kama hadi leo hakuna maji ya ktosha hapo Nairobi, public transport ni hovyo, slums zimezagaa, insecurity na unemployment inaongezeka, vipi ulinganishe na Dar mji wenye very good living standards in EA?, ninyi endeleeni kujulikana wakati kipindupindu kinawamaliza.Dar is slum ni mji usiojulikana dunia nzima 'hivi iweje mnapoteza time yenu humu kwa porojo
Hatushindanii majengo, tunashindania huduma bora za msingi, kama hadi leo hakuna maji ya ktosha hapo Nairobi, public transport ni hovyo, slums zimezagaa, insecurity na unemployment inaongezeka, vipi ulinganishe na Dar mji wenye very good living standards in EA?, ninyi endeleeni kujulikana wakati kipindupindu kinawamaliza.
Rwanda inajulikana duniani kwa sababu ya genocide, Somalia, Yemen, South Sudani zinajulikana sana kwasababu ya civil wars na humanitarian crises, Kenya na Ethiopia kwa sababu ya njaaHata wazungu hawajui kuna kijiji kiitwacho Tanzania,ilhali Kenya inajulikana kote dunia nzima
kwani unafkiri dar iko mbele kwa real estates more than 3b usd to nairobi, do u think wanaishi mbuzi au?????Magorofa tunayoyahenga sio eti nani aliye na gorofa ndefu kushinda mwingine,(kama vile nyie na ulimbukeni wenu na porojo mnavyofikiria)Ni majumba marefu marefu kwa ajili tuko na wealthy middle na upper middle class plus Kenya inaongoza Africa nzima kwa multinational corporations .Hivi nyie magofu ya kuokotwa na kutupwa za mzizima towers,na gorofa tupwa tupwa za Tpa na pspf zitakaliwa na nani?Naona ni historia itakavyokuwa kama ponte city apartments miaka iliopita.Pinnacle kwa sasa kwenye jengo la hoteli maharufu ya Hilton tayari iko 100% taken, that is 45 storey smaller arm,while the 70 storey arm b4 hata marketing ianze,liko 50% booked!!!
hehhehe one good yearπππππKadoda bby,jua kwamba jiji la Nairobi lina umaharufu mkubwa kote dunia nzima,hivi je kijiji cha walatope cha Dar is slum nani kajua?
Huwezi compare ukwasi na umaharufu wa Nairobi na vitu hivi hivi,Nairobi ina historia yake halisi .