Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Maybe just the new Administrative Capital in Egypt
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Dah. Jama angu nimempa asome hii, akaniambia eti kwamba wewe ni taahira.
 
Nakumbuka last year kulikua na mjadala humu kuhusu nani ako na hizi gari mingi kati ya kunya na Tz. πŸ‘‡πŸΎπŸ€£πŸ€£πŸ€£kuna mnuka mavi akasema ati sisi tunazo kumi au less.

Yoo nimekuja kugundua kwamva Tz anazo hizi gari nyingi kuliko mataifa yote EA combined.. if I’m not mistaken hizi gari labda zikiwa chache ni 500 .. Tz huwa haitangazi tangazi kila kitu.
 
Kama haitangazi basi wewe umejuaje?
 
Ile iliyoshindwa Chan ilikuwa timu ya taifa ya Tanganyika?
No wonder hamna glass building, kama akili ndo hizi πŸ˜‚, mmekaa kabisa mnachambua moroco ya CHAN πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwenye hii AFCON umeona mchezaji yoyote wa CHAN kwenye kile kikosi, but we are happy your stupid
 
you mean the low qualiity buildings right?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…