Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Gas pipeline itakuja Tanga to power refinery na kuprovide feedstock ya fertilizer na pia kutakuwa na special economic zone in Tanga. Out of Dangote's discussion na SSH nimenusa hivyo tuu kwa sasa. Ila port development sijui ni ya kule Mtwara dirty port au ni expansion ya Tanga to handle increased economic activities tutajua muda sio mrefu.
 
umeona enhee kuna parables nyingi kuhusu port ipi haswa inazungumziwa ila kama kuna suala la coal power plant basi nadhani ni Mtwara port!
 
Dar es Salaam of 2016 and it's still better than Nairobi of today 😂😂
Hizi story na excuses za miaka mbona tumezoea. I joined this forum 9 years ago na images za Dar kule Google Earth ni zile zile za 9 years ago when I i joined this forum. As if Dar is the only place on earth where Google doesn't do updates.

Hizi picha za uswazi zingekuwa ni za kitambo as most of you claim here, Dar images on Google Earth zingekuwa zinabadilika kila kuchao. Lakini hakuna kinachobadilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…