Mwanaetu hizo treni bila kukata wiki before unaambuliwa patupu japo pia sio mbaya wameongeza ila nawaza route za dar kwenda mwanza arusha sjui patakuaje, yaani ni bora walinunua zile double dec mapemaSiku njema huonekana asubuhi
View attachment 3616031
wao wanajuaga tu zile gari za kunguni swala la BRT aaahThis BRT education is very extensive, you need to enter the classroom to learn.
huyu ndo stats zake kidogo znaendaga na IMF huyo mkenya wenu umeona ata watu wanamshobokea kwenye comments?Hii page wameacha kuipost siku hizi, wanasema ni ya wakenya 😅😅
Few weeks ago ilikuwa valid until it didn’t go their way
View: https://x.com/stats_wire/status/2070108644343996811?s=46
tunasema kwambaOya! Unasemaje?😂😂View attachment 3616015
Ivi nan aliwapa city status Nairobi? hawana ata modern transport ndan ya mjiDunia inajua wakenya ndio wenye inferiority complex, mpaka mnaandika barabara ONLY BRT 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
View attachment 3616013
Ni Kwenye Mkutano wa Wajaluo na Wakikuyu walipiga kura kaka. Nairobi haipo kwenye Internanational City StandardIvi nan aliwapa city status Nairobi? hawana ata modern transport ndan ya mji
alafu wakasema ni city 🤣 🤣 no modern transport katikati wakaweka na world biggest slumNi Kwenye Mkutano wa Wajaluo na Wakikuyu walipiga kura kaka. Nairobi haipo kwenye Internanational City Standard
Kaka mtu aliye laaniwa huwezi kumuombea baraka akapata. Hawa wenzetu Mungu alishawaweka kwenye kundi la kukosa.alafu wakasema ni city 🤣 🤣 no modern transport katikati wakaweka na world biggest slum
Hiyo mukuru kwa njega is a million times better than your sprawling uswazi hovels🤣🤣🤣 Hasira peleka Mukuru kwa Njenga