Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umebaki kushobokea vitu ambavyo vitabadilika at any minute
Ni kama umeishiwa vya kucheka, vikebaki tu vumbi, nyasi na rangi.. sijui utalia nini hio ikienda 😅
mbna mm sina ubaya mwanaetu 😆, we mwenyewe si unaona vumbi jekundu la nairobi limeingia ndan ya uwanja


 
Talanta iko na a whole hallway after the main entrance, then uingie kwa Lobby, Lift area alafu corridors kabla ufike kwa kiti yako ilhali Pale kwa jirani unaeza kuwa nje na ndani at the same time 😅😅😅
 
i think kilichobaki apa ni maombi au unasemaje President of China maaana kama nyasi zimepandwa twice na bado ziko ivi ivi, maybe tujiandae tu na hio AIbu ya AFCON, maaana sasa tutafanyaje...?
 
Stadium iko na stairs zinajipinda ndani ya terraces 🤣🤣🤣
Yani uko hapo unataka ku watch game then kuna watu wanakuzuia wakipanda stairs mbele yako.. what a poor design! The crazy part manze ni wako hapo wakicheka nyasi yenye inapandwa 😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…