Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi nimekuambia jinsi Watanzania wengi wanavyoiona Kenya. Sio mawazo ya Baba Levo

Kenya imejipatia umaarufu Tanzania kwa sababu ya njaa, ukame, maandamano na slums. Pia watu wengi hawapendi tabia yenu ya kuvamia comment section kwenye post yoyote inayosifia Tanzania na kuanza kuiongelea negatively, tunajua ni wivu lakini sio lazima ujioneshe hadharani kuwa una wivu. Pia watu wengi wanajua wanawake wenu wa Kenya ni wabaya, pia hamjui kuimba na nchi yenu sio nzuri kama Tanzania
Tunawajua kwa tabia za kutamani vitu vya Tanzania (mfano Mt Kilimanjaro), tunajua hamjiwezi so tunawalisha
Really, watz hawaoni Kenya kama Ulaya
 
Total : Vituo vya afya ni 17000. Tafuta mwenyewe Percentage %

Ikumbukwe hz CHUs ni level 1.
 
Uzuri nobody cares about your opinion 😂😂


View: https://youtu.be/Lj7NzB0cxvY?si=Pl3OXTsyOQq2SzTw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…