Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha kurukaruka , we know how you evade issues by switching goalposts… game yako tunaijua ..🤣🤣🤣 Pay attention …stick to Golf for now ….🤪
Sisi tumewaruhusu muungane na nairobi kwenye hii battle bado hamtaki tufanye nn
 
basi fanya ivi, unganisha mombasa na nairobi zote tuanze battle mpya sisi mbna hatuna shida

View attachment 3609866

View attachment 3609867



View attachment 3609869View attachment 3609868
Did you know Golf is a great indicator of a population with a healthy disposable income?
Tanzania yote has 13 Golf courses with Kilimanjaro Golf in Arusha as only international standard certified course
Kenya 🇰🇪 has 46 Golf courses across the country including 15 international standard certified courses and 1 PGA course ( Vipingo )
Kenya has as many courses as number of counties. Note we are not counting the upcoming Golf courses in gated communities being built like Manyani in Nanyuki among others.
So now do the maths… 🤪🤪🤪
 
Atakuambia hizo figures ni za kupikwa 😂😂
They never cease to amaze
 
Jinga ni wewe unayepinga maneno ya mmiliki tena kaandika yeye mwenyewe wakati wewe upo uswazini Tandale
 
Masaki hakuna golf course. 😂 😂 😂
 
Hajakosea, ni hawa mbulu kenge hawajui tafauti ya skyboxes na vip boxes, mchina kajenga VIP Boxes, there are more of offices than sehem za kuangalia mpira sasa wakina mwaiofhawaii wallidhan wanajengewa hizi

View attachment 3609880
Of course we know this is the only skybox in east and central Africa 🤣🤣🤣

Even these ones at Allianz Arena aren't skyboxes
 
1500km2 in Dar is slum with 2 golf courses hio nafasi ingine ni slums na mihogo. 😂 😂 😂 Enyewe ni mbayaaaaaaaaaaaaa!
 
now lets do the maths


View: https://x.com/Stats_Kenya/status/2066807299780280795?s=20
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…