Alafu ebu angalia terraces, facade ya nje imeletwa ndani 😂🤣🤣Bongolala wanadhani AI maana yake Artist Impression 😂 😂
Ebu angalia hii. Hii ni corner gani? 😅😅😅
View attachment 3589190
tunapiga kimya kimya sie!Geza Ulole unasemaje apa? au ndo wanataka reli iwe yetu tena
View: https://www.instagram.com/p/DYXJxgPiAlU/
hio inaitwa knockoutHili ni pigo kubwa sana kwa wakenya.
View: https://x.com/TAGTravel_Za/status/2055144680824668378?s=20
kwahio m7 ameona asiconnect tu bali achukue na hela kabisa, what will happen to that lubricant locomotivetunapiga kimya kimya sie!
Hizi 32km za 6 lanes wangezijenga kuanzia Kibaha hadi Mlandizi au popote zintakapoishia zingeleta tija kubwa zaidi kiuchumi kuliko kuzikweka Dodoma ambapo tatizo la foleni hakuna.Leo Serikali inatia saini mradi wa 32k road of six lanes in Dodoma city. 👇🏾
View: https://www.instagram.com/p/DYWb7nzI-8w/?igsh=MXYwOG9sMmJmY3ZoYQ==.